Nimekamata Ujumbe Katika Simu ya Mke Wangu Akimtumia Mama Yake Majina ya Wanawake Anaohisi Kuwa ni Michepuko Yangu, Nimeshangaa na Kufadhaika.

Hakika umeongea, na huo ndo uanaume!
 
kama mkeo ni mtu wa mikoa ya pwani kuanzia tanga shuka hadi mtwara bas kua na wasiwasi ANATAKA KUWALOGA hao wanawake otherwise endelea kupiga bia tuu hamna kitu, ila narudia kama mkeo ni mtu wa pwani mkuu stay at ease
Ahsante mkuu, ngoja nimkatie denge
 
Mali zako umeziandikisha kwa jina la mama yako ?
Why the hell should I do that?!!! Kuna ndugu watata, ataondoka mama na watakomalia mali.
Mi nina vyangu ambavyo mke havijui kamwe!
 
Dawa kama una mchepuko piga chini,hakuna cha uchawi wala nini,unawekewa ushahidi,na kama vichenchi vipo vipo jiandae kuombwa talaka na kugawana mali😂
 
Dawa kama una mchepuko piga chini,hakuna cha uchawi wala nini,unawekewa ushahidi,na kama vichenchi vipo vipo niandae kuombwa talaka na kugawana mali😂
Ahsante sana
 
Ukikua utakuja kujua ulikua unachemka
 
Mahusiano ya kuwindana hivyo,
Mara meseji kwa mama mkwe,
Kazi kwelikweli.
 
Bado hujajitambua,kwanza hakuna urafiki kati ya mwanamme na mwanake,umeoa eti unasema unachati na kutaniana.na marafiki zako wa kike.

Wewe Wawapi !?

Nashauri wakuloge kabisa Hadi akili zikae sawa
 
Alafu bado watu wanaulizana kwa nini wanaume tunakufa mapema...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…