- Thread starter
- #21
Umeikopi wapi hii comment ya 1800s?!!!Alafu wakiitwa wanaume na wewe utatoka? Mwanamke anashikaje simu yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeikopi wapi hii comment ya 1800s?!!!Alafu wakiitwa wanaume na wewe utatoka? Mwanamke anashikaje simu yako?
Unanitisha mkuu!!!Umekwisha ndugu yangu hahahahaa
Hakika umeongea, na huo ndo uanaume!Nnachojua Mwanaume kushika simu ya Mke ndio umama ila Mke kushika simu yangu iyo kawaida na atakayokutana nayo humo ndio atajua mwenyewe ameze dawa gani, simu yangu hata mwanangu wa miaka mitano anajua password na Mama yao pia ila akishoboka kuchunguza yasiomhusu atajua mwenyewe ila mimi simu yake sijawahi kuigusa hata akiacha wapi sina huo muda mimi natimiza majukumu yangu tu
Wewe ni mjinga kwa hii reply yako. Bado hujajitambua, vijana kama hamuwezi ndoa sio lazima uitwe mume wa mtu. Stupid!Yaani nisitaniane na marafiki zangu wa kitambo kisa ndoa? Hilo nimeshamuweka wazi tangu mwanzo
Sichepuki na nilimueleza mapema kuwa kuna fulani na fulani na fulani hao ni maswahiba watani ambao chochote huwa tunaongea hivyo aside na mashaka nao yoyoteKwanza tuambie .
Unachepuka au huchepuki??
Ahsante mkuu, ngoja nimkatie dengekama mkeo ni mtu wa mikoa ya pwani kuanzia tanga shuka hadi mtwara bas kua na wasiwasi ANATAKA KUWALOGA hao wanawake otherwise endelea kupiga bia tuu hamna kitu, ila narudia kama mkeo ni mtu wa pwani mkuu stay at ease
Why the hell should I do that?!!! Kuna ndugu watata, ataondoka mama na watakomalia mali.Mali zako umeziandikisha kwa jina la mama yako ?
Dawa kama una mchepuko piga chini,hakuna cha uchawi wala nini,unawekewa ushahidi,na kama vichenchi vipo vipo jiandae kuombwa talaka na kugawana mali😂Msaada wenu tafadhali.
Amechambua jumbe zangu katika simu yangu, kila jumbe ya kike iliyokuwa tata kidogo kwake amelitafuta jina la namba hiyo na sasa amemtumia mama yake majina yote. Hili nimeligundua leo baada ya kuinasa katika siku yake.....bila shaka alijisahau kuifuta.
Majina haya wanataka wakayafanyie nini?!!! Ni wachawi hawa?!!!!!!! Mpaka sasa nimekausha tu kimya nasubiri kwanza nipate hili na lile katika ushauri.
Kwa kawaida huwa sifuti meseji kila wakati na nina marafiki wengi tu wa kike ambao tunaongea ya maana, tunaongea yasiyo na maana, tunataniana n.k katika kupitisha siku. Hili nimewahi kumuelekeza na simu yangu ni yake tu.
Nimefadhaika na kushangaa sana!!
Ahsante sanaDawa kama una mchepuko piga chini,hakuna cha uchawi wala nini,unawekewa ushahidi,na kama vichenchi vipo vipo niandae kuombwa talaka na kugawana mali😂
Ashiki na sitaki hayo mazoea, simu yangu ni zaidi ya kaa la motoKhaaaah kwahiyo wee mkeo hashiki cm yakoo??
Duuuh kazi ipoo
Ukikua utakuja kujua ulikua unachemkaNnachojua Mwanaume kushika simu ya Mke ndio umama ila Mke kushika simu yangu iyo kawaida na atakayokutana nayo humo ndio atajua mwenyewe ameze dawa gani, simu yangu hata mwanangu wa miaka mitano anajua password na Mama yao pia ila akishoboka kuchunguza yasiomhusu atajua mwenyewe ila mimi simu yake sijawahi kuigusa hata akiacha wapi sina huo muda mimi natimiza majukumu yangu tu
Endelea kumwachia mkeo simu yako ndiyo utajua kwanini babu zetu walikua hawalali chumba kimoja na wake zaoUmeikopi wapi hii comment ya 1800s?!!!
Watu wengi hawaamini sharing is caringMahusiano ya kuwindana hivyo,
Mara meseji kwa mama mkwe,
Kazi kwelikweli.
🤣🤣🤣🤣Endelea kumwachia mkeo simu yako ndiyo utajua kwanini babu zetu walikua hawalali chumba kimoja na wake zao
Relax, kutoa ujinga ndiyo jukumu langu🤣🤣🤣🤣
Hii ndo nasikia leo
Bado hujajitambua,kwanza hakuna urafiki kati ya mwanamme na mwanake,umeoa eti unasema unachati na kutaniana.na marafiki zako wa kike.Msaada wenu tafadhali.
Amechambua jumbe zangu katika simu yangu, kila jumbe ya kike iliyokuwa tata kidogo kwake amelitafuta jina la namba hiyo na sasa amemtumia mama yake majina yote. Hili nimeligundua leo baada ya kuinasa katika siku yake.....bila shaka alijisahau kuifuta.
Majina haya wanataka wakayafanyie nini?!!! Ni wachawi hawa?!!!!!!! Mpaka sasa nimekausha tu kimya nasubiri kwanza nipate hili na lile katika ushauri.
Kwa kawaida huwa sifuti meseji kila wakati na nina marafiki wengi tu wa kike ambao tunaongea ya maana, tunaongea yasiyo na maana, tunataniana n.k katika kupitisha siku. Hili nimewahi kumuelekeza na simu yangu ni yake tu.
Nimefadhaika na kushangaa sana!!
Ila yake wee unashikaaa??Ashiki na sitaki hayo mazoea, simu yangu ni zaidi ya kaa la moto