Nimekasirika kuitwa malaya

sisi hatukuonei wivu bali tunakutahazalisha tuu hicho kibabu chamiaka 60 unacho kiita handsome nakutudharau sisi vijana wamiaka30+utakuja kukiua nahio minyonyo yako mikubwa uende jela. Una kaibia tu kazee kawatu kwa kukaita handsome acha tamaa utaua uende jela bure dili na vijana wenzako acha kuiba vibabu vyawatu nakuvifungia ndani ili uviibie vizuri😎
 
Mbona mimi hata sijaelewea, sijiui wenzangu!
 
Nyuzi za type hii ni za cocastic
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wala nitawaignore my dear ila ukweli unauma kwao mtu anaona wivi ukiwa na mwanaume mwenzako seriously
sikuwa na mpango wa kusema chochote lakni nikuulize kdogo; unaposema ukweli unauma unamaanisha nini? Ngoja nirudie kusoma huenda ni reading error!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…