Nimekasirika kuitwa malaya

Ukisikia my past don't let the present give me peace ndo hii anyway i just feel you sorry
 
MMU ianzishe Fund ya Ushauri Nasaha. Huyu dada atafutiwe Mwana Saikolojia kinguvu, laah sivyo atakuja kujidhuru.

Unaongea kwa kelele sana mpaka naumia masikio
Kila siku huwa analalamika tu, afu Aya zake hazieleweki. Haweki vituo, hafuati alama za uandishi.
 
Badala ya kumsadia mwenzenu mnamcheka kuminjoi
Kwenye Uzi wake wa pili tulifanya hivyo.

Kwa mtu mzima inatosha kabisa.

Wakati mwingine kuubeba upumbavu wa watu na kuuweka kichwani ukuhangaishe ilihali umeshajua ni upumbavu pia. Hiki Sasa anachoendelea nacho mleta uzi ni upumbavu.

Hawezi kushindana na wapuuzi ambao wanaamua tu wakukere. Na Kwa nafsi Yako unaona kabisa yanayosemwa ni upuuzi. Kadri anavyoendelea kuwaanzishia nyuzi ndivyo kadri watazidi kumuongezea maneno ya karaha na kebehi.

Wakati mwingine ukimtambua mpumbavu na upumbavu wake ni kumpuuza, mwisho ataacha. Ila Kwa hivi anavyofanya ategemee kero nyingi zaidi.


Kama yeye kachagua kero sisi wanawake wenzie tufanyaje? Tulishamshauri awapuuzie haelewi acha afanye anachoona sahihi kwake.
 
Wewe ndio una depression plus personality disorder dada. Inabidi ujichunguze una matatizo gani, either unapenda attention za kijinga au una matatizo ya akili. Hauwezi kuwa sawa hata kidogo.
Je wewe unapenda Nini??
 
Huyu aliyekuita malaya amekujuaje kama hajawahi kukula? Jaribu kukumbuka labda kuna siku uliliwa na mtu huko danguro. Na kama wewe unajijua vzr sio malaya, maneno ya uongo hayo yanakuuma kwa nini?
 
sikuwa na mpango wa kusema chochote lakni nikuulize kdogo; unaposema ukweli unauma unamaanisha nini? Ngoja nirudie kusoma huenda ni reading error!
Ukweli unauma, ndiyo. Ameambiwa yeye ni MALAYA na kwa kuwa ni kweli, INEMUUMA SANA!
 
Huyu aliyekuita malaya amekujuaje kama hajawahi kukula? Jaribu kukumbuka labda kuna siku uliliwa na mtu huko danguro. Na kama wewe unajijua vzr sio malaya, maneno ya uongo hayo yanakuuma kwa nini?
Danguro lile lenu pale Kambi ya fisi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…