Chill sis,fanya mambo yako tu jifunze kupuuzia vitu ambavyo havikuhusu,kwa mfano mimi nikipita sehemu nikikuta ugomvi watu hata watake kuuana huwa napita zangu kama sijaona kitu..
Simple bcoz hainihusu,so na wewe enjoy tu maisha yako so long we ndo unajijua vizuri mtu hapaswi kukuharibia mood eti kisa kakutukana.
Mtu akikutusi assume ni kama mtu aliyerusha jiwe then halijakupata,so mwangalie then jisemee moyoni huyu ni mtu wa hovyo siwezi deal naye.
Coz kuna watu furaha yao ni kuona na wewe unapanic kama wao,uwe na mood mbaya kama wao.
Kataa kuwa na mood mbaya kisa mtu,tunaishi mara moja hapa duniani enjoy maisha haya licha ya kuwa kuna watu watakuudhi tu siku moja.
Happy new year to all mates.[emoji1488][emoji3590][emoji3590]