Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu pesa sio dawa ya kila kitu. Sina shida ya pesa kabisa.Kama ni kisa cha kweli nikikaa na wewe one on one nakubadilisha kabisa na utaishi vizuri, kukosa nguzo ya brain around you au mwongozo wa kiroho wa kweli ni tatizo dogo, tena uzuri huna shida ya pesa, wewe huna matatizo kbsa, tiba yako ndogo sana
Thanks....umeniongezea jambo MuhimuPi! It’s okey to feel that way, ni sawa.. ila si afya
Ni human nature kutafuta uthamani wetu kupitia wengine, ila si afya!
Ushajiuliza ungejikuta unaishi na mbishi tu nani angekuacknowledge??
Jitambue wewe ni nani, Jithamini kwanza mwenyewe jipende sana tu, halafu utasahau hata kama you need people’s recognition and acknowledgements.
Kumbuka kujipenda ni kujilinda na kujitunza pia wacha masigara bangi mipombe na marahaba ni uharibifu.Shetani huwa anatumia mianya hii ambapo mtu uko so down akakushambulia kwa kukuingizia mawazo mabaya ukiyafuata ni mwanzo wa majuto yajayo!
By the way tunakuacknoledge ndiyo maana tumerespond, isn’t this enough??
Kabisa mimi nimechelewa kuolewa na kuzaa sababu ya wadogo zangu wasome wawe na maisha yao na mama kumjengea,kwa sasa sitoi hela yangu kizembe wananiitaga mpare nilivyo bahiliSelfishness is the way. Bora uonekane mchoyo kuliko mjinga.
Watoto hawa ambao wakikuwa wanasema Bora mama au wakileta kitu wanampa mama Baba unabaki ebung'aa asomeshe wanaye Ila asijisahau kujiangalia na yaeye mwenyeweNakushauri usiingie kwenye ulevi na wanawake huko ndo kuna shida zaidi hasa pale utakapopata STI au kufumaniwa. Ni shida
Naomba elekeza kila senti yako kwa mustakabali wa watoto wako tu na zaidi kaa na mkeo muyajenge hayo ya watoto.
Kwa hiyo nyie wanawake mnaona nimetoa ushauri mbaya mnataka awe danga lenu awatelekeze watoto?Watoto hawa ambao wakikuwa wanasema Bora mama au wakileta kitu wanampa mama Baba unabaki ebung'aa asomeshe wanaye Ila asijisahau kujiangalia na yaeye mwenyewe
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
👍👍Nakushauri usiingie kwenye ulevi na wanawake huko ndo kuna shida zaidi hasa pale utakapopata STI au kufumaniwa. Ni shida
Naomba elekeza kila senti yako kwa mustakabali wa watoto wako tu na zaidi kaa na mkeo muyajenge hayo ya watoto.
mtt wa mwisho anakwambia yupo form 4 ss awekeze kwa watoto wepi tena mwache ale maishaNakushauri usiingie kwenye ulevi na wanawake huko ndo kuna shida zaidi hasa pale utakapopata STI au kufumaniwa. Ni shida
Naomba elekeza kila senti yako kwa mustakabali wa watoto wako tu na zaidi kaa na mkeo muyajenge hayo ya watoto.
Sasa mkuu unataka kunipiga kofi kwa sababu gani?? Tunatofautiana sisi binadamu ktk feelings zetu.We ungekua kaka yangu ningekupiga makofi umenikera sanaaa!we Neema zote ulizopewa hizoo bado unalalamika!
Hujui kua wanakufanyia,husda,chuki na majungu kwa kua una neema na una kitu kikubwa ndani yako wengine hawana!Hayo unayoyataka kuyafanya ndo suluhisho au?!!!Shetani ni mbaya sana anakutoa kwenye reli kabisa akupoteze!
Form 4 ni mdogo wangu sio mwanangumtt wa mwisho anakwambia yupo form 4 ss awekeze kwa watoto wepi tena mwache ale maisha
nimekunukuu vibayaForm 4 ni mdogo wangu sio mwanangu