bowlibo
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 3,205
- 2,905
Ushuhuda
Nimeshapoteza marafiki wawili kwa visa vya wivu wa kimapenzi mmoja alikuwa anatuhumiwa kuchepuka na mke wa mtu, akatumiwa vitisho akadharau mwisho akauliwa kwa kutekwa na kunyongwa. Mwingine alipewa sumu kwenye pombe
Geukia famile yako watoto wale vizuri wavae fresh, watoe out wakapige msosi wa maana na mwisho mkaze mkeo kwa fujo sana
Hao ndugu achana nao waachie zamu ya kumlea mama yenu sasa