Nimekata tamaa sana nakufikia kuona kifo ndio suluhisho

Ndugu matatizo yapo kikubwa usikate tamaa.
1. Mimi mke wangu ameondoka this December kaacha watoto watatu, hatukuwa na house helper ikabidi niombe siku kadhaa job niangalie namna watoto watabaki.

2. Feb 16 nimefiwa na baba mzazi, tunamaliza kuzika, kinakaa kikao cha familia kaka zangu wanajimilikisha mashamba na mali za mzee zote, nikakausha kwa vile nina maisha yangu mbali na huo mkoa.

3. Nimetoka msibani na watoto tunarudi home tunakuta mama yao alikuja na fuso akasafisha nyumba.

Lakini sikuteteleka, kwa kuwa nilirudi na msaidizi wa kazi, niliomba mkeka kwa jirani wakalala. Kesho nikanunua godoro dogo kwa ajili ya watoto na yule binti maisha yakaanza. Kurudi job kwa wema tu boss akaniongeza siku 14 ikabidi sasa nizitumie kuweka mambo sawa.

Moral of the story, changamoto za maisha zisikukatishe tamaa.
 
Miaka 29 unataka ujiue? Unashida gani mkuu? Maana umeandika ujumbe mrefu ila haujasema ni nini kinachokutatiza.
 
Kila hatua ya kujiua kumbuka kuhusu hiyo binti yako, yaani unapenda dukani kununua kamba, unapoifunga, unapoweka shingo yako yaan binti yako muweke mbele uone kama utapata huo uthubutu. Kujiua NI suluhusho la walioshindwa, pole kwa kukubali kushindwa
 
Why umetumbukia huko kwa drugs? Jichomoe basi.dah
 
Maisha ni magumu mkuu, ila kujiua sio suluhisho. Pambana usiwe mbinafsi ukizingatia ushaanza na familia, unataka nani amlee huyo mtoto.

Jikaze wewe wa kiume, usichoke. Pambana mpaka wakati wako halisi ukifika, usijikatishe uhai. Ukiweza leo usiku pita barabarani tembea mpaka kituo chochote cha mabasi. Afu waangalie wote unaokutana nao, kisha jilinganishe nao.
 
💕👍
 
Pole sana chief, kitendo cha kutaka kujiua na kuacha mtoto wa mwaka mmoja ni ubinafsi wa hali ya juu sana. Dunia nzima kwa sasa kuna wimbi la vijana kukosa ajira,kuishi ni bahati kubwa sana kwani kumbuka wewe ni sperm iliyoshinda zile mbio dhidi ya milioni 300 wengine.

Kitu kikubwa nilichojifunza kwenye haya maisha ni kwamba matatizo hayaishi, lakini pia sometimes ili kuweza kushinda inabidi ufananishe mzigo wako na wengine kisha utagundua yako ni rahisi sana.

Mtaji namba moja ni afya,wewe ni mzima wa afya. Kama upo Dar jaribu kutenga muda kwenda pale Ocean road ( Au hospitali ya rufaa ya mkoa iliyopo)kuona wagonjwa wa cancer. Anza wodi za watoto, wanawake kisha na wanaume. Hapo utagundua kwamba umebarikiwa sana chief.

Ukiona mambo hayaendi hapo unapoishi basi hama, nenda mji mwingine especially miji ya border kama Kasumulu,tunduma au hata wilaya za kilimo Morogoro huko kama Mlimba,malinyi. Anza mdogo mdogo hata kwa kukaanga mihogo,utaishi na kufanikiwa.

Usimnyime mwanao baba yake,kwenye maisha haya we don't quit chief. You will make it or die trying,make your daughter proud of you,she should be enough reason for your to fight these suicidal demons. Maisha yako bado kabisa maana ndiyo kwanza ni asubuhi,kila la heri.
 
Shida inayofanya take kujiua ni nini?
 
Naomba unipe namba ya wife ili ukiondoka nichukue nafasi yako familia isiteseke
 
Kauze figo zote mbili unatumbua kama miezi fulani then you die.

Pata muda mfupi wa kufurahia maisha hapa duniani kabla hujajua huko uendako kupo vipi.
 
Duh...nakosa la kusema....!pole sana...wapende zaidi wanao pia mheshimu dada wa kazi utatoboa💕
 
Mkuu, pole sana naomba kabla hujachukua huo uamuzi mfikirie mtoto mdogo aliye anza kuita baba. Kujiua siyo kutatua tatizo bali ni kuongeza tatizo kwa wanao baki hasa mtoto.
Jikaze na vumilia kwa sababu kila jaribu lina mlango wa kutokea.
Mtu anaechukua uamuzi kama huu akiwa Hana mtoto anaemtegemea binafsi Sina shida nae sana, lkn yule anaefanya uamuzi huu akiwa tayari ashaleta kiumbe duniani ambacho hakina mbele Wala nyuma, mtoto analetwa duniani na kukabiliwa na maisha magumu na ya mateso! haijulikani atalishwa na nani ataishije, Watu wa aina hii ni wabinafsi na washenzi, hawana utu, si wa kuchekea kbs! Kuna wakati mtu anapaswa ajue kuwa uhai wake si Kwa AJILI yake binafsi bali ni Kwa AJILI pia ya wale alioshiriki kuwaleta duniani.
 
Sasa dada wa kazi anaingiaje kwenye kuheshimiwa? Au umemaanisha nisije kula kimasihara? Nitatoboa nini?
Yes usije ukaingiwa shetani ukampitia.
Namaanisha utaweza tu kuishi na wanao ingawa watakua lonely sanabila mama yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…