Nimekata tamaa sana nakufikia kuona kifo ndio suluhisho

Yes usije ukaingiwa shetani ukampitia.
Namaanisha utaweza tu kuishi na wanao ingawa watakua lonely sanabila mama yao
Huyo binti ananiita mjomba so hata wazo haliwezi kuwepo.
Watoto hawawezi kuwa lonely kwa malezi waliyolelewa.
 
Huyo binti ananiita mjomba so hata wazo haliwezi kuwepo.
Watoto hawawezi kuwa lonely kwa malezi waliyolelewa.
Mkui Lior , pole sana kwa changamoto.

Changamoto zinazohuzu Familia huwa ni ngumu sana kukabiliana nazo.

Mungu akufungulie njia na baraka zake
 
Mkuu usikate tamaa na kumbuka kukata tamaa ni dhambi mbele ya uso wa MUNGU,amka asubuhi mapema kila siku kwanza ukimuomba MUNGU abariki siku yako na uendelee kusonga mbele,utanishukuru baadae
 
Naamini ukipata pakutolea sumu moyoni utakua mwepesi uzito na roho ya mauti inayokutembelea itaachia,nimaombi yangu upate mtu sahihi wakukuskiza ukitema nyongo ya yale yote unayopitia na akupe nguvu mpya ya kupambana kwaajili ya wategemezi wako
 
Bahati mbaya Dunia huwa haina huruma kwa wanaotia huruma......


Pole sana mkuu, Dawa ni kuendelea kupambana.
Punguza matarajio makubwa kwa watu hata kama ni ndugu utaishia kukatishwa tamaa na kuvunjwa moyo.
 
Naam upo sahihi
 
Watoto ni wadogo?
Mweeeeh!
Pole mkuu.

Ila haya maisha, hivi mtu kama umeamua kujiengua si unajiengua mwenyewe tu? Sa anabeba hadi vitu wanae wangetumia! Yaani kwake vyombo vina thamani kuliko watoto.... banangeee!! 🤔
 
Miaka 29 ni umri mdogo sana wa kujipa mawazo ya kujidhurumu uhai.
Huo umri ndio akili zinakomaa Sasa na ili zikomae lazima ukutane na changamoto kama hizo ili uweze kutumia akili zako vyema..
Ni kipindi Cha mpito tu pambana Man
 
Watoto ni wadogo?
Mweeeeh!
Pole mkuu.

Ila haya maisha, hivi mtu kama umeamua kujiengua si unajiengua mwenyewe tu? Sa anabeba hadi vitu wanae wangetumia! Yaani kwake vyombo vina thamani kuliko watoto.... banangeee!! 🤔
Yes, miaka 8, 5 na 2.
Alijua ananikomoa mimi.
 
Kufa ni ibada kama kuishi Amina usitishe watu we ondoka ukamkute Izrael atakupokea kwa viboko kwaheri huenda ulisha meza sumu tayari we unalazisha uishi but kufa lazima utakufa tu pitia magumu mengi hiyo ni suna kwa heri ila najua hufi unatishia huyo mtoto atakua Mungu yupo
 
Kwa masikitiko ni kwamba mleta uzi alishajitoa uhai hayupo tena duniani kwa sasa tushamzika huku mungu ampe adhabu anayostahili tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…