Nimekata tamaa ya kupata Mtoto

Nimekata tamaa ya kupata Mtoto

Endelea kumwamini Mungu chief,mi nna five yrs kwenye ndoa na mke wangu sijapata mtoto although mimba mbili zimeharibika sikati tamaa.
Tunalea mi nna mmoja wangu,naye mmoja lives goes on na michakato ya kumpata wetu inaendelea na niko na 32 ,yeye,25., Punguza stress piga zoezi Mungu hawezi kutupa Amini tu.
 
Wanaotaka apige mechi za away wampe na namba za dada zao ambao hawajaolewa ili awafanye single mother wazalie nyumbani otherwise mnashauri bila kuangalia madhara kwa yule atakayembebesha mimba kwa majaribio.
Dah! Mwamba nimependa sana hii comment [emoji119]
 
Endelea kumwamini Mungu chief,mi nna five yrs kwenye ndoa na mke wangu sijapata mtoto although mimba mbili zimeharibika sikati tamaa.
Tunalea mi nna mmoja wangu,naye mmoja lives goes on na michakato ya kumpata wetu inaendelea na niko na 32 ,yeye,25., Punguza stress piga zoezi Mungu hawezi kutupa Amini tu.
Hapo sawa mechi imeanza 1-1

Mara nyingi usipo itaji kitu kinakuja faster faster ukiwa unakitafuta kinaweza kukawia, kuchelewa au usikipate kabisa ....

Kikubwa dua
 
Endelea kumwamini Mungu chief,mi nna five yrs kwenye ndoa na mke wangu sijapata mtoto although mimba mbili zimeharibika sikati tamaa.
Tunalea mi nna mmoja wangu,naye mmoja lives goes on na michakato ya kumpata wetu inaendelea na niko na 32 ,yeye,25., Punguza stress piga zoezi Mungu hawezi kutupa Amini tu.
Una five year kwenye ndoa ukiwa na mwanamke mwenye miaka 25 kwa sasa, ambae wakati unaanza nae uhusiano ulimkuta tayari na mtoto mkubwa wa kwake.

Hmmh, alizaa mapama sana, probably akiwa na 17 years.
 
Habari za wakati huu,

Wakuu naomba angalau msaada wa mawazo najua humu kuna wajuvi na watalaam mbali mbali kuhusu maswala ya afya.

Mimi ni kijana na nimetimiza miaka 27, nina mke lakini sijafanikiwa kupata mtoto na ni mwaka wa 3 toka nimekutana na mke wangu ingawa yeye ana mtoto aliyempata akiwa secondary. Tumesha kwenda hospital kupima tukakutwa wote hatuna tatizo lolote na tumeshatumia dawa mbalimbali lakini tumeshindwa kufanikisha lengo.

Lakini bila kusahau nimesha muuliza wife kama alishawahi kutumia uzazi wa mpango hapo kabla, akasema nikweli aliwahi kutumia p2 na hata sindano lakini ni muda umepita coz kunakipindi aliwahi kutokwa na kijinyama fulani, na alikua anasumbuliwa na tumbo na mzunguko wa hedhi usioeleweka japokua tumeshatafuta mitishamba sasa yuko good kuhusu maumivu na hedhi kukaa vizuri.

Kwakweli imefikia kipindi nawaza sana maana umri unayoyoma tuu, naomba kama kuna watu wameshapitia changamoto kama hizi wanisaidie japo mawazo.
Miaka 27 unaona umri unayoyoma?
 
Wewe Ni ng'ombe
Yaan hata hujajaribu kupasua nje unakuja kulia lia hapa

Nenda nje Kwanza nyambafu
 
Achana na huyo mke wamtuu maramojaa yaani unaoa mwanamkee alie kulastarehee zake nakutumia madawa alafu anakuja kukutesa wewe ??
Nenda popote palee zururaa mahospital yote huyomwanamke ataonekana hana shida P2 nihatari mnoo wanawake hawajui tuu
 
Nakuonea huruma sababu kuna uwezekano hali ikiendelea hivi huyo mwanamke anaweza akabebeshwa zigo huko nje akakukabidhisha wewe
 
ndugu, jamaa, na marafiki, kwa ujumla
👏nina washukuruni sana kwa michango ya mawazo na ushauli mbali mbali nadhani kazi imebaki kwangu, kuichanganua na kuifanyia kazi.

bila kusahau nawale walionikebehi kwa maneno yao ya nimeowa single mother, wengine oooh umeanza 1:0, wengine eti mkewangu kashaniona boya, mala huenda amesha nichana kwamba mimi ni hanithi,

all in all yote sawa na hakuna jipya chini ya jua

nakwenda kuyafanyia kazi mawazo yenu. na nitaendelea kuwajuza
fanyia kazi ushauri tuliokupa.wakati ndio sasa na hujachelewa japo ulipitiwa kidogo sasa umezinduka
 
Ila nahisi umepigwa minilikua namkee kila sikuu shooshoo hashiki mimba mienzi minne hashiki mimbaa nikaenda kupeleleza kwaoo nikagundua kua Alisha zalishwa akaachika ,nikafunguka akili kuaa huyu utakuta kafwata matumizi yamtoto tuu kwamdaa naalikua ananichochea nimpeela akafungue biashara nikajua hapa nimepigwaa nikamtaftia makosa akasepa zakee ila alinikamua hatarii maana nilikondaa stress zandoa alafu hakuna mtoto ziskie kwamwenzio ila kwandugu yanguu huyosinglemaza temananaee tena shukuru hujazaanae hujui Mungu anakuepusha na nini
 
hivi mnafikiria nini kuoa mwanamke bila kumpa mimba kwanza..sijui lakini
 
Tafuta mmasai fulani hivi maeneo ya majengo sokoni Dodoma atatatua issue yako kwa dawa za kimasai, ila b4 itabidi ukapime wewe na bebi wako kama system zenu ziko sawa ndiyo anampa bebi wako dawa ya kusafisha mirija, hapo ni bao 1 tu mnalea mapacha
 
Back
Top Bottom