Nimekata tamaa ya kupata Mtoto

Nimekata tamaa ya kupata Mtoto

We tulia kaka! Tumechoka mashangazi anakuzuga na vimaneno vya kinafki "taratibu bas baba naumia et" na wakati mbususu mileage inasoma parefu! Bora ije midoli unapiga bao tatu unaminya button ya kufinyia then unaoga zako unalala
mawazo ya kupigwa kibom yanaisha rasmi
 
sasa mbona nimekwisha pima mbegu nimeambiwa niko sawa ?
Inawezekana umepima mbegu ziko sawa.....lakini ukawa na tatizo la low sperm count!...

Unakuwa unatoa mbegu ambazo hazistahimili muda zinakufa, unapaswa umuone daktari bingwa wa maswala ya uzazi akushauri neutrients(virutubisho) unavyopaswa utumie...ILA SIO VILE VIRUTUBISHO HEWA VYA YULE MJANJA MJANJA WA WA TOWN ANAEJIITA TABIBU JJ MWAKA!....

Chunga sana!
 
eti eeh kwa sababu hata kabla sijakutana na huyu mwanamke. mimi nimekua nimtu nisiebadili wanawake (madem)
na nimekua nikitumia kinga
Hubadili wanawake af unatumia kinga which is which mkuu???
 
Miaka 27 unalalamika muda unayoyoma wewe ni vipi Malume? Watu wana 35 hawana watoto na wapo busy hawana habari😁😁😁.
 
ndugu, jamaa, na marafiki, kwa ujumla
👏nina washukuruni sana kwa michango ya mawazo na ushauli mbali mbali nadhani kazi imebaki kwangu, kuichanganua na kuifanyia kazi.

bila kusahau nawale walionikebehi kwa maneno yao ya nimeowa single mother, wengine oooh umeanza 1:0, wengine eti mkewangu kashaniona boya, mala huenda amesha nichana kwamba mimi ni hanithi,

all in all yote sawa na hakuna jipya chini ya jua

nakwenda kuyafanyia kazi mawazo yenu. na nitaendelea kuwajuza
 
[emoji23] wajinga hawaishi, miaka 27 unakata tamaa kwa kukosa kupata mtoto na wakati vipimo vinaonesha upo sawa, uenda genes zenu hazilandani. tembeza bakora kwa jirani
 
Habari za wakati huu,

Wakuu naomba angalau msaada wa mawazo najua humu kuna wajuvi na watalaam mbali mbali kuhusu maswala ya afya.

Mimi ni kijana na nimetimiza miaka 27, nina mke lakini sijafanikiwa kupata mtoto na ni mwaka wa 3 toka nimekutana na mke wangu ingawa yeye ana mtoto aliyempata akiwa secondary. Tumesha kwenda hospital kupima tukakutwa wote hatuna tatizo lolote na tumeshatumia dawa mbalimbali lakini tumeshindwa kufanikisha lengo.

Lakini bila kusahau nimesha muuliza wife kama alishawahi kutumia uzazi wa mpango hapo kabla, akasema nikweli aliwahi kutumia p2 na hata sindano lakini ni muda umepita coz kunakipindi aliwahi kutokwa na kijinyama fulani, na alikua anasumbuliwa na tumbo na mzunguko wa hedhi usioeleweka japokua tumeshatafuta mitishamba sasa yuko good kuhusu maumivu na hedhi kukaa vizuri.

Kwakweli imefikia kipindi nawaza sana maana umri unayoyoma tuu, naomba kama kuna watu wameshapitia changamoto kama hizi wanisaidie japo mawazo.

Mbona January 2023 ulipost kuwa una umri wa miaka 25 na unatafuta mwanamke umuoe kwa kuwa upo single?? Leo hii una 27yrs na upo kwenye ndoa miaka 3 sasa na unatafuta mtoto!!

Unatuchezea akili zetu dogo???
 
Mimi.....sidhani kama nitazaaa...maana nina ugonjwa wa akili...hivyo nimeamua nisizae tu
 
Hapo tafuta kadem kadogo kadogo nje ili utest mitambo.

Kikipata mimba usishangilie subiri mtoto azaliwe na ukampime vinasaba.

Akiwa wako ujue mkeo ndio mwenye matatizo.

Hivyo timua single mother huyo halafu weka kadem Chako.
Ushaur wa five ⭐⭐⭐⭐⭐
 
Habari za wakati huu,

Wakuu naomba angalau msaada wa mawazo najua humu kuna wajuvi na watalaam mbali mbali kuhusu maswala ya afya.

Mimi ni kijana na nimetimiza miaka 27, nina mke lakini sijafanikiwa kupata mtoto na ni mwaka wa 3 toka nimekutana na mke wangu ingawa yeye ana mtoto aliyempata akiwa secondary. Tumesha kwenda hospital kupima tukakutwa wote hatuna tatizo lolote na tumeshatumia dawa mbalimbali lakini tumeshindwa kufanikisha lengo.

Lakini bila kusahau nimesha muuliza wife kama alishawahi kutumia uzazi wa mpango hapo kabla, akasema nikweli aliwahi kutumia p2 na hata sindano lakini ni muda umepita coz kunakipindi aliwahi kutokwa na kijinyama fulani, na alikua anasumbuliwa na tumbo na mzunguko wa hedhi usioeleweka japokua tumeshatafuta mitishamba sasa yuko good kuhusu maumivu na hedhi kukaa vizuri.

Kwakweli imefikia kipindi nawaza sana maana umri unayoyoma tuu, naomba kama kuna watu wameshapitia changamoto kama hizi wanisaidie japo mawazo.
Mkuu pole nitafute mimi kwa wakati wako nikupeni dawa ya kuweza kushika mimba mke wako.
 
Hiyo presha nadhani vijana wengi imetukumba kwenye huo umri. Mimi pia nilikuwa moto sana kupata mtoto kwenye hiyo age. Haikutokea. Matokeo yake nikaja kupata mtoto wa kwanza nikiwa na miaka 30.

Nakushauri pia ujaribu kubadilisha tundu. Pengine hupati mtoto na huyo uliyenae sababu damu hazijaoana.
 
Nakusalimia brother angu 🤚

Mkuu dawa ni Bure au Kuna some fee pia ungeweka hapa wazi wazi Kwa faida ya wengi???

Mm binafsi si shaur mtoto wa dawa au uganga (tunguri) nieleweke wazi na si vinginevyo...

Ila kama ni formula ya chakula na zile ovaredy kit kuangalia lini yai linakua tayar kurutubishwa....naunga mkono.......

Kutumia food supplement kama pregnancy care softgel naunga mkono....

Herbalist Dr MziziMkavu
Wasalaam
 
Hiyo presha nadhani vijana wengi imetukumba kwenye huo umri. Mimi pia nilikuwa moto sana kupata mtoto kwenye hiyo age. Haikutokea. Matokeo yake nikaja kupata mtoto wa kwanza nikiwa na miaka 30.

Nakushauri pia ujaribu kubadilisha tundu. Pengine hupati mtoto na huyo uliyenae sababu damu hazijaoana.
Damu hazijaoana.....
 
Habari za wakati huu,

Wakuu naomba angalau msaada wa mawazo najua humu kuna wajuvi na watalaam mbali mbali kuhusu maswala ya afya.

Mimi ni kijana na nimetimiza miaka 27, nina mke lakini sijafanikiwa kupata mtoto na ni mwaka wa 3 toka nimekutana na mke wangu ingawa yeye ana mtoto aliyempata akiwa secondary. Tumesha kwenda hospital kupima tukakutwa wote hatuna tatizo lolote na tumeshatumia dawa mbalimbali lakini tumeshindwa kufanikisha lengo.

Lakini bila kusahau nimesha muuliza wife kama alishawahi kutumia uzazi wa mpango hapo kabla, akasema nikweli aliwahi kutumia p2 na hata sindano lakini ni muda umepita coz kunakipindi aliwahi kutokwa na kijinyama fulani, na alikua anasumbuliwa na tumbo na mzunguko wa hedhi usioeleweka japokua tumeshatafuta mitishamba sasa yuko good kuhusu maumivu na hedhi kukaa vizuri.

Kwakweli imefikia kipindi nawaza sana maana umri unayoyoma tuu, naomba kama kuna watu wameshapitia changamoto kama hizi wanisaidie japo mawazo.
Tafuta mwanamke mwingine jaribu uone maan unaweza panic kumbe tatizo ni mwanamke
 
Back
Top Bottom