Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
namanisha achangamke muda ndio huu hasa ukizingatia mwanamke lazima amwone anisi kwani yeye mwanamke tayari ana mtoto kiufupi apo game ni 1:0Sasa akishakata tamaa then what?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
namanisha achangamke muda ndio huu hasa ukizingatia mwanamke lazima amwone anisi kwani yeye mwanamke tayari ana mtoto kiufupi apo game ni 1:0Sasa akishakata tamaa then what?
Dunia ni ubinafsiWanaotaka apige mechi za away wampe na namba za dada zao ambao hawajaolewa ili awafanye single mother wazalie nyumbani otherwise mnashauri bila kuangalia madhara kwa yule atakayembebesha mimba kwa majaribio.
Habari za wakati huu,
Wakuu naomba angalau msaada wa mawazo najua humu kuna wajuvi na watalaam mbali mbali kuhusu maswala ya afya.
Mimi ni kijana na nimetimiza miaka 27, nina mke lakini sijafanikiwa kupata mtoto na ni mwaka wa 3 toka nimekutana na mke wangu ingawa yeye ana mtoto aliyempata akiwa secondary. Tumesha kwenda hospital kupima tukakutwa wote hatuna tatizo lolote na tumeshatumia dawa mbalimbali lakini tumeshindwa kufanikisha lengo.
Lakini bila kusahau nimesha muuliza wife kama alishawahi kutumia uzazi wa mpango hapo kabla, akasema nikweli aliwahi kutumia p2 na hata sindano lakini ni muda umepita coz kunakipindi aliwahi kutokwa na kijinyama fulani, na alikua anasumbuliwa na tumbo na mzunguko wa hedhi usioeleweka japokua tumeshatafuta mitishamba sasa yuko good kuhusu maumivu na hedhi kukaa vizuri.
Kwakweli imefikia kipindi nawaza sana maana umri unayoyoma tuu, naomba kama kuna watu wameshapitia changamoto kama hizi wanisaidie japo mawazo.
mwenyewe nimeshangaa sana watu hawajali muda kabisa.Dunia ni ubinafsi
Dunia ni wewe
Kwa hiyo unataka mpaka afikishe 40 plus bado bila bila
By the way single mom ni wengi hata kama yeye akijitunza dada zake, wapwa zake au hata watoto wake mmoja atakuwa single mom.
Hakuna kipya
Jaribu kwenda kwa Mwamposa au Kwa Kuhani Musa kimara TemboniHabari za wakati huu,
Wakuu naomba angalau msaada wa mawazo najua humu kuna wajuvi na watalaam mbali mbali kuhusu maswala ya afya.
Mimi ni kijana na nimetimiza miaka 27, nina mke lakini sijafanikiwa kupata mtoto na ni mwaka wa 3 toka nimekutana na mke wangu ingawa yeye ana mtoto aliyempata akiwa secondary. Tumesha kwenda hospital kupima tukakutwa wote hatuna tatizo lolote na tumeshatumia dawa mbalimbali lakini tumeshindwa kufanikisha lengo.
Lakini bila kusahau nimesha muuliza wife kama alishawahi kutumia uzazi wa mpango hapo kabla, akasema nikweli aliwahi kutumia p2 na hata sindano lakini ni muda umepita coz kunakipindi aliwahi kutokwa na kijinyama fulani, na alikua anasumbuliwa na tumbo na mzunguko wa hedhi usioeleweka japokua tumeshatafuta mitishamba sasa yuko good kuhusu maumivu na hedhi kukaa vizuri.
Kwakweli imefikia kipindi nawaza sana maana umri unayoyoma tuu, naomba kama kuna watu wameshapitia changamoto kama hizi wanisaidie japo mawazo.
acheni kumdanganya huyu kijanaRelax mkuu wewe na mkeo. Mpeni Mungu nafasi yake kila siku huku mkiyakataa mambo ya kurithi mfano mizimu na mambo mengine.
Jifunzeni na muielewe vizuri elimu ya uzazi. Mzitambue siku za hatari hasa mkeo anapaswa kulitambua hili. Siku ya hatari akiona uteute mwambie akupe taarifa na kisha tuliza mpira chini. Weka goli la dk 84 kama lile la US Alger 🤣🤣(utani tu)
Epuka sana kuchepuka mkuu. Tuliza akili
mambo ya p2Tatizo linaweza kuwa uzazi wa mpango, wapo wanaoathirika na hilo tatizo; umri ungekuwa umeenda sana, ningekushauri mkeo achekiwe uvimbe kwenye kizazi, ila kwa sasa unatakiwa uvute subra.
🤣🤣🤣 atest mtambo ligi nyingineacheni kumdanganya huyu kijana
Sisi Kuna jamaa yetu mtu wa utani na masikhara sana tulivyopata kazi tu, yeye akaoa haraka na michango tukatoa.mwenyewe nimeshangaa sana watu hawajali muda kabisa.
shida yao dogo azidi kuonekana anisi
haswa saivi mambo ni mengi unaweza kuta ana Brucella ni nyema akauza mechi kadiri awezavyo kuilinda heshima🤣🤣🤣 atest mtambo ligi nyingine
Tumfarji na pia aendelee kupambana na tibanamanisha achangamke muda ndio huu hasa ukizingatia mwanamke lazima amwone anisi kwani yeye mwanamke tayari ana mtoto kiufupi apo game ni 1:0
Kuna namna yapo overrated! Hayupo kama tunavoyapigia debe, lkn endapo itaenda kama tunavofikiria Aisee itakua mbadala wa nyetozleo kuna mahali nimesoma juu ya hayo makitu nimecheka sana eti yanachajiwa siku tatu apo ni kama yako hedhi ndani ya mwezi, mzungu ni mshenzi sana
Nenda kwa Mwamposa kawe tatizo lako litaishaHabari za wakati huu,
Wakuu naomba angalau msaada wa mawazo najua humu kuna wajuvi na watalaam mbali mbali kuhusu maswala ya afya.
Mimi ni kijana na nimetimiza miaka 27, nina mke lakini sijafanikiwa kupata mtoto na ni mwaka wa 3 toka nimekutana na mke wangu ingawa yeye ana mtoto aliyempata akiwa secondary. Tumesha kwenda hospital kupima tukakutwa wote hatuna tatizo lolote na tumeshatumia dawa mbalimbali lakini tumeshindwa kufanikisha lengo.
Lakini bila kusahau nimesha muuliza wife kama alishawahi kutumia uzazi wa mpango hapo kabla, akasema nikweli aliwahi kutumia p2 na hata sindano lakini ni muda umepita coz kunakipindi aliwahi kutokwa na kijinyama fulani, na alikua anasumbuliwa na tumbo na mzunguko wa hedhi usioeleweka japokua tumeshatafuta mitishamba sasa yuko good kuhusu maumivu na hedhi kukaa vizuri.
Kwakweli imefikia kipindi nawaza sana maana umri unayoyoma tuu, naomba kama kuna watu wameshapitia changamoto kama hizi wanisaidie japo mawazo.
mimi nimejaribu kuangalia hata mwandiko wa huyu kijana inaonekana hata mwanamke alioko nae tayari kashanza kumdharau hali inayompelekea kutokujiamini.nafikiri mwanamke alishawahi kumuita anisi au kitu kama icho pengineSisi Kuna jamaa yetu mtu wa utani na masikhara sana tulivyopata kazi tu, yeye akaoa haraka na michango tukatoa.
Tukakutana baada ya miaka 5 kwa ajili ya mazoezi maalumu jamaa alikuwa anamtania kila mtu kiasi siku akiamka na wewe utakoma.
Sasa tulivyogundua hajapata mtoto alikoma kila nyimbo aliimbwa yeye.
Tusichokijua haya mambo yanaumiza moyo sana, siku tumekaa chini ya mti tunaona jamaa analia peke yake,
Kwenda kumuuliza tatizo nini ndio
akaanza kufunguka jinsi tunavyomtesa hivyo tukaupiga marufuku huo utani kwake.
Tukaendelea na utani mwingine ila mwamba hapo anaanza kujidauti mwenyewe na kuto jiamini kitu ambacho sio kizuri.
Hivyo alipue nje kwanza
Pili atakuwa amesawazisha matokeo yatakuwa 1:1