Nyamwage
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 712
- 1,748
Hizo mbegu madoctor walizipata vipisasa mbona nimekwisha pima mbegu nimeambiwa niko sawa ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo mbegu madoctor walizipata vipisasa mbona nimekwisha pima mbegu nimeambiwa niko sawa ?
Tumieni asali mbichi ILI kuongeza sperm count asubuhi na jioni!!habari za wakati huu,
wakuu naomba angalau msaada wamawazo najua humu kuna wajuvi na watalaam mbali mbali kuhusu maswala ya afya
mimi ni kijana na nimetimiza miaka 27, nina mke lakini sijafanikiwa kupata mtoto na ni mwaka wa 3 toka nimekutana na mke wangu ingawa yeye anamtoto alie mpata akiwa secondary. tumesha kwenda hospital kupima tukakutwa wote hatuna tatizo lolote na tumesha tumia dawa mbali mbali lakini tumeshindwa kufanikisha lengo
lakini bila kusahau nimesha muuliza wife kama alisha wahi kutumia uzazi wa mpango hapo kabla, akasema nikweli aliwahi kutumia p2 na hata sindano lakini ni muda umepita coz kunakipindi aliwahi kutokwa na kijinyama fulani. na alikua ana sumbuliwaga na tumbo na mzunguko wa hedhi usioeleweka japokua tumesha tafuta miti shamba sasa yuko good kuhusu maumivu na hedhi kukaa vizuri.
kwakweli imefikia kipindi nawaza sana maana umri unayoyoma tuu. naomba kama kuna watu wamesha pitia changamoto kama hizi wanisaidie japo mawazo
nmekaa kwenye ndoa miaka 4 bila mtoto mke wngu akawa kama chizi vile,mara ale bamia mbichi,mara karoti ukimwambia tu dawa flani inafaa fasta sana kishaenda nunua anatumia.habari za wakati huu,
wakuu naomba angalau msaada wamawazo najua humu kuna wajuvi na watalaam mbali mbali kuhusu maswala ya afya
mimi ni kijana na nimetimiza miaka 27, nina mke lakini sijafanikiwa kupata mtoto na ni mwaka wa 3 toka nimekutana na mke wangu ingawa yeye anamtoto alie mpata akiwa secondary. tumesha kwenda hospital kupima tukakutwa wote hatuna tatizo lolote na tumesha tumia dawa mbali mbali lakini tumeshindwa kufanikisha lengo
lakini bila kusahau nimesha muuliza wife kama alisha wahi kutumia uzazi wa mpango hapo kabla, akasema nikweli aliwahi kutumia p2 na hata sindano lakini ni muda umepita coz kunakipindi aliwahi kutokwa na kijinyama fulani. na alikua ana sumbuliwaga na tumbo na mzunguko wa hedhi usioeleweka japokua tumesha tafuta miti shamba sasa yuko good kuhusu maumivu na hedhi kukaa vizuri.
kwakweli imefikia kipindi nawaza sana maana umri unayoyoma tuu. naomba kama kuna watu wamesha pitia changamoto kama hizi wanisaidie japo mawazo
Yaani miaka 3 unakuja kuleta uzi wa kukata tamaa? Wenzako walikaa 17 yrs wamepata this yr twins ..bado sana ..wala msiwe na papara ..mtapata tuhabari za wakati huu,
wakuu naomba angalau msaada wamawazo najua humu kuna wajuvi na watalaam mbali mbali kuhusu maswala ya afya
mimi ni kijana na nimetimiza miaka 27, nina mke lakini sijafanikiwa kupata mtoto na ni mwaka wa 3 toka nimekutana na mke wangu ingawa yeye anamtoto alie mpata akiwa secondary. tumesha kwenda hospital kupima tukakutwa wote hatuna tatizo lolote na tumesha tumia dawa mbali mbali lakini tumeshindwa kufanikisha lengo
lakini bila kusahau nimesha muuliza wife kama alisha wahi kutumia uzazi wa mpango hapo kabla, akasema nikweli aliwahi kutumia p2 na hata sindano lakini ni muda umepita coz kunakipindi aliwahi kutokwa na kijinyama fulani. na alikua ana sumbuliwaga na tumbo na mzunguko wa hedhi usioeleweka japokua tumesha tafuta miti shamba sasa yuko good kuhusu maumivu na hedhi kukaa vizuri.
kwakweli imefikia kipindi nawaza sana maana umri unayoyoma tuu. naomba kama kuna watu wamesha pitia changamoto kama hizi wanisaidie japo mawazo
Hapa kichwa kinaniuma kwa mawazo, juzi mchepuko umeniambia una mimba na Leo nimetoka kazini wife anae imooo!habari za wakati huu,
wakuu naomba angalau msaada wamawazo najua humu kuna wajuvi na watalaam mbali mbali kuhusu maswala ya afya
mimi ni kijana na nimetimiza miaka 27, nina mke lakini sijafanikiwa kupata mtoto na ni mwaka wa 3 toka nimekutana na mke wangu ingawa yeye anamtoto alie mpata akiwa secondary. tumesha kwenda hospital kupima tukakutwa wote hatuna tatizo lolote na tumesha tumia dawa mbali mbali lakini tumeshindwa kufanikisha lengo
lakini bila kusahau nimesha muuliza wife kama alisha wahi kutumia uzazi wa mpango hapo kabla, akasema nikweli aliwahi kutumia p2 na hata sindano lakini ni muda umepita coz kunakipindi aliwahi kutokwa na kijinyama fulani. na alikua ana sumbuliwaga na tumbo na mzunguko wa hedhi usioeleweka japokua tumesha tafuta miti shamba sasa yuko good kuhusu maumivu na hedhi kukaa vizuri.
kwakweli imefikia kipindi nawaza sana maana umri unayoyoma tuu. naomba kama kuna watu wamesha pitia changamoto kama hizi wanisaidie japo mawazo
miaka mitatu kuwa na mke ndani bila ya mtoto unafikiri ni kitu kizuri,achepuke na itakapo nasa hapohapo aweke bikoniWanaotaka apige mechi za away wampe na namba za dada zao ambao hawajaolewa ili awafanye single mother wazalie nyumbani otherwise mnashauri bila kuangalia madhara kwa yule atakayembebesha mimba kwa majaribio.
aiseeKaka ebu jaribu Kwa hii midoli ya Elon Musk huenda baraka zako zimo mule
Haujajibu swali. Umeshawahi kutomba nje ukatia mimba mtoto wa mtu ukatoa labda?!sasa mbona nimekwisha pima mbegu nimeambiwa niko sawa ?
Miaka 27 Bado sana hata 35 Bado sana...habari za wakati huu,
wakuu naomba angalau msaada wamawazo najua humu kuna wajuvi na watalaam mbali mbali kuhusu maswala ya afya
mimi ni kijana na nimetimiza miaka 27, nina mke lakini sijafanikiwa kupata mtoto na ni mwaka wa 3 toka nimekutana na mke wangu ingawa yeye anamtoto alie mpata akiwa secondary. tumesha kwenda hospital kupima tukakutwa wote hatuna tatizo lolote na tumesha tumia dawa mbali mbali lakini tumeshindwa kufanikisha lengo
lakini bila kusahau nimesha muuliza wife kama alisha wahi kutumia uzazi wa mpango hapo kabla, akasema nikweli aliwahi kutumia p2 na hata sindano lakini ni muda umepita coz kunakipindi aliwahi kutokwa na kijinyama fulani. na alikua ana sumbuliwaga na tumbo na mzunguko wa hedhi usioeleweka japokua tumesha tafuta miti shamba sasa yuko good kuhusu maumivu na hedhi kukaa vizuri.
kwakweli imefikia kipindi nawaza sana maana umri unayoyoma tuu. naomba kama kuna watu wamesha pitia changamoto kama hizi wanisaidie japo mawazo
Acha uzembe. Katombe nje huko tafuta demu mzuri piga mashine uone kama hajapata ujauzito akishika then zungumza vizuri na mkeo kuhusu kulea watoto wa kambo. Mbona yeye wa kwake umepokea.eti eeh kwa sababu hata kabla sijakutana na huyu mwanamke. mimi nimekua nimtu nisiebadili wanawake (madem)
na nimekua nikitumia kinga
Miaka 3 tu, kiduchu hivyo...habari za wakati huu,
wakuu naomba angalau msaada wamawazo najua humu kuna wajuvi na watalaam mbali mbali kuhusu maswala ya afya
mimi ni kijana na nimetimiza miaka 27, nina mke lakini sijafanikiwa kupata mtoto na ni mwaka wa 3 toka nimekutana na mke wangu ingawa yeye anamtoto alie mpata akiwa secondary. tumesha kwenda hospital kupima tukakutwa wote hatuna tatizo lolote na tumesha tumia dawa mbali mbali lakini tumeshindwa kufanikisha lengo
lakini bila kusahau nimesha muuliza wife kama alisha wahi kutumia uzazi wa mpango hapo kabla, akasema nikweli aliwahi kutumia p2 na hata sindano lakini ni muda umepita coz kunakipindi aliwahi kutokwa na kijinyama fulani. na alikua ana sumbuliwaga na tumbo na mzunguko wa hedhi usioeleweka japokua tumesha tafuta miti shamba sasa yuko good kuhusu maumivu na hedhi kukaa vizuri.
kwakweli imefikia kipindi nawaza sana maana umri unayoyoma tuu. naomba kama kuna watu wamesha pitia changamoto kama hizi wanisaidie japo mawazo
usimdanganye kabisa nashauri afanye mamuzi ya ghafla na njia pekee ni kuchepuka ili kutesti mtambo upo sawa au vipi kumbuka alioa mechi ikiwa 1:0 sasa ni wakati wake kusawazisha gameYaani miaka 3 unakuja kuleta uzi wa kukata tamaa? Wenzako walikaa 17 yrs wamepata this yr twins ..bado sana ..wala msiwe na papara ..mtapata tu