Nimekata tamaa ya kupata Mtoto

Nimekata tamaa ya kupata Mtoto

Jaribu kuchepuka na km mkeo hujamkuta bikira inawezekana kwenye ubinti wake aliwai kufanya abortion
 
eti eeh kwa sababu hata kabla sijakutana na huyu mwanamke. mimi nimekua nimtu nisiebadili wanawake (madem)
na nimekua nikitumia kinga
Kwahiyo hata kwa huyo mwanamke wako aliekuwa akitumia P2 bado unatumia kings(i)
 
Habari za wakati huu,

Wakuu naomba angalau msaada wa mawazo najua humu kuna wajuvi na watalaam mbali mbali kuhusu maswala ya afya.

Mimi ni kijana na nimetimiza miaka 27, nina mke lakini sijafanikiwa kupata mtoto na ni mwaka wa 3 toka nimekutana na mke wangu ingawa yeye ana mtoto aliyempata akiwa secondary. Tumesha kwenda hospital kupima tukakutwa wote hatuna tatizo lolote na tumeshatumia dawa mbalimbali lakini tumeshindwa kufanikisha lengo.

Lakini bila kusahau nimesha muuliza wife kama alishawahi kutumia uzazi wa mpango hapo kabla, akasema nikweli aliwahi kutumia p2 na hata sindano lakini ni muda umepita coz kunakipindi aliwahi kutokwa na kijinyama fulani, na alikua anasumbuliwa na tumbo na mzunguko wa hedhi usioeleweka japokua tumeshatafuta mitishamba sasa yuko good kuhusu maumivu na hedhi kukaa vizuri.

Kwakweli imefikia kipindi nawaza sana maana umri unayoyoma tuu, naomba kama kuna watu wameshapitia changamoto kama hizi wanisaidie japo mawazo.
Miaka 27 ndiyo 'umri unayoyoma tu?'
 
Isikate tamaa kama hitojali tuwasiliane
 
Pole sana kwanza ndugu, inabidi tujue uyo mtoto ambae mkeo alizaa akiwa secondary ana umri gani, maana mwanamke ndo anaamua muda gani azae, pia next time usikubali kuanza mechi moja bila, mungu atakusaidia.
 
watu wanashindwa kuelewa apo huyo dogo anadhalilika sana na mwanamke lazima amwone anisi,cha msingi dogo achepuke hadi awape mabinti mimba
 
Back
Top Bottom