Nimekata tamaa ya kupata Mtoto

Nimekata tamaa ya kupata Mtoto

Hapo tafuta kadem kadogo kadogo nje ili utest mitambo.

Kikipata mimba usishangilie subiri mtoto azaliwe na ukampime vinasaba.

Akiwa wako ujue mkeo ndio mwenye matatizo.

Hivyo timua single mother huyo halafu weka kadem Chako.
 
Usidanganye watu wewe kwenye issue muhimu!
Wew ndo unampotezaa Kumpa mwanamke uja uzito sio tu suala la mbegu zako kuwa sawa au yeye kuwa na uwezo wa kubebe.. Jamaa akapigeee njee akiweza kutungishaaa arudi kwa mkewee wakomae kumtibiaaa.. Akishindwaa kutia mimba njee atuliee Ajitibieee.. Otherwise watazunguka bila kuwa na uhakika nani mwenye shida na sometimes wote hawana shida ila Damu zao tu haziendani.
 
Pole sana.

Kwanza, ondoa hofu. Ni jambo la kawaida. Hupaswi kulikatia tamaa. Bado una nafasi kubwa ya kupata watoto.

Pili,Kwa kuwa umesema mmeshaenda hospitali, naomba kufahamu ni vipimo gani mlichukua huko hospital?

Karibu.
mke wangu walimpima kwanzia. kizazi na homon
mimi nika pimwa mbegu kama zinauwezo wa kutungisha mimba na wingi wa mbegu
 
Hapo tafuta kadem kadogo kadogo nje ili utest mitambo.

Kikipata mimba usishangilie subiri mtoto azaliwe na ukampime vinasaba.

Akiwa wako ujue mkeo ndio mwenye matatizo.

Hivyo timua single mother huyo halafu weka kadem Chako.
Yani wee jamaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila Bora wangekuwa wamepata hata kamoja aiseew.. Hatari sana inaumaa mnoo
 
Hapo tafuta kadem kadogo kadogo nje ili utest mitambo.

Kikipata mimba usishangilie subiri mtoto azaliwe na ukampime vinasaba.

Akiwa wako ujue mkeo ndio mwenye matatizo.

Hivyo timua single mother huyo halafu weka kadem Chako.
😂😂😂😂
 
Wew ndo unampotezaa Kumpa mwanamke uja uzito sio tu suala la mbegu zako kuwa sawa au yeye kuwa na uwezo wa kubebe.. Jamaa akapigeee njee akiweza kutungishaaa arudi kwa mkewee wakomae kumtibiaaa.. Akishindwaa kutia mimba njee atuliee Ajitibieee.. Otherwise watazunguka bila kuwa na uhakika nani mwenye shida na sometimes wote hawana shida ila Damu zao tu haziendani.
oooh kumbe mpaka damu ziendane?
 
habari za wakati huu,
wakuu naomba angalau msaada wamawazo najua humu kuna wajuvi na watalaam mbali mbali kuhusu maswala ya afya

mimi ni kijana na nimetimiza miaka 27, nina mke lakini sijafanikiwa kupata mtoto na ni mwaka wa 3 toka nimekutana na mke wangu ingawa yeye anamtoto alie mpata akiwa secondary. tumesha kwenda hospital kupima tukakutwa wote hatuna tatizo lolote na tumesha tumia dawa mbali mbali lakini tumeshindwa kufanikisha lengo

lakini bila kusahau nimesha muuliza wife kama alisha wahi kutumia uzazi wa mpango hapo kabla, akasema nikweli aliwahi kutumia p2 na hata sindano lakini ni muda umepita coz kunakipindi aliwahi kutokwa na kijinyama fulani. na alikua ana sumbuliwaga na tumbo na mzunguko wa hedhi usioeleweka japokua tumesha tafuta miti shamba sasa yuko good kuhusu maumivu na hedhi kukaa vizuri.

kwakweli imefikia kipindi nawaza sana maana umri unayoyoma tuu. naomba kama kuna watu wamesha pitia changamoto kama hizi wanisaidie japo mawazo
Naweza kukusaidia Ila ujipange vizuri
 
Back
Top Bottom