Dah! Mwamba nimependa sana hii comment [emoji119]Wanaotaka apige mechi za away wampe na namba za dada zao ambao hawajaolewa ili awafanye single mother wazalie nyumbani otherwise mnashauri bila kuangalia madhara kwa yule atakayembebesha mimba kwa majaribio.
Hapo sawa mechi imeanza 1-1Endelea kumwamini Mungu chief,mi nna five yrs kwenye ndoa na mke wangu sijapata mtoto although mimba mbili zimeharibika sikati tamaa.
Tunalea mi nna mmoja wangu,naye mmoja lives goes on na michakato ya kumpata wetu inaendelea na niko na 32 ,yeye,25., Punguza stress piga zoezi Mungu hawezi kutupa Amini tu.
Mkuu toa ushaur 😊😊Pole Sana mkuu
Una five year kwenye ndoa ukiwa na mwanamke mwenye miaka 25 kwa sasa, ambae wakati unaanza nae uhusiano ulimkuta tayari na mtoto mkubwa wa kwake.Endelea kumwamini Mungu chief,mi nna five yrs kwenye ndoa na mke wangu sijapata mtoto although mimba mbili zimeharibika sikati tamaa.
Tunalea mi nna mmoja wangu,naye mmoja lives goes on na michakato ya kumpata wetu inaendelea na niko na 32 ,yeye,25., Punguza stress piga zoezi Mungu hawezi kutupa Amini tu.
Miaka 27 unaona umri unayoyoma?Habari za wakati huu,
Wakuu naomba angalau msaada wa mawazo najua humu kuna wajuvi na watalaam mbali mbali kuhusu maswala ya afya.
Mimi ni kijana na nimetimiza miaka 27, nina mke lakini sijafanikiwa kupata mtoto na ni mwaka wa 3 toka nimekutana na mke wangu ingawa yeye ana mtoto aliyempata akiwa secondary. Tumesha kwenda hospital kupima tukakutwa wote hatuna tatizo lolote na tumeshatumia dawa mbalimbali lakini tumeshindwa kufanikisha lengo.
Lakini bila kusahau nimesha muuliza wife kama alishawahi kutumia uzazi wa mpango hapo kabla, akasema nikweli aliwahi kutumia p2 na hata sindano lakini ni muda umepita coz kunakipindi aliwahi kutokwa na kijinyama fulani, na alikua anasumbuliwa na tumbo na mzunguko wa hedhi usioeleweka japokua tumeshatafuta mitishamba sasa yuko good kuhusu maumivu na hedhi kukaa vizuri.
Kwakweli imefikia kipindi nawaza sana maana umri unayoyoma tuu, naomba kama kuna watu wameshapitia changamoto kama hizi wanisaidie japo mawazo.
Aendelee kupambana bila kukata tamaaMkuu toa ushaur 😊😊
Amin chiefHapo sawa mechi imeanza 1-1
Mara nyingi usipo itaji kitu kinakuja faster faster ukiwa unakitafuta kinaweza kukawia, kuchelewa au usikipate kabisa ....
Kikubwa dua
Yaap alizaa akiwa na 17 kasoro miezi 5 afike eighteenUna five year kwenye ndoa ukiwa na mwanamke mwenye miaka 25 kwa sasa, ambae wakati unaanza nae uhusiano ulimkuta tayari na mtoto mkubwa wa kwake.
Hmmh, alizaa mapama sana, probably akiwa na 17 years.
Uko S.M anamaanishajambo gani 1;0 ?
Ukizaa huo ugonjwa utaisha mremboMimi.....sidhani kama nitazaaa...maana nina ugonjwa wa akili...hivyo nimeamua nisizae tu
fanyia kazi ushauri tuliokupa.wakati ndio sasa na hujachelewa japo ulipitiwa kidogo sasa umezindukandugu, jamaa, na marafiki, kwa ujumla
👏nina washukuruni sana kwa michango ya mawazo na ushauli mbali mbali nadhani kazi imebaki kwangu, kuichanganua na kuifanyia kazi.
bila kusahau nawale walionikebehi kwa maneno yao ya nimeowa single mother, wengine oooh umeanza 1:0, wengine eti mkewangu kashaniona boya, mala huenda amesha nichana kwamba mimi ni hanithi,
all in all yote sawa na hakuna jipya chini ya jua
nakwenda kuyafanyia kazi mawazo yenu. na nitaendelea kuwajuza
hivi mnafikiria nini kuoa mwanamke bila kumpa mimba kwanza..sijui lakiniIla nahisi umepigwa minilikua namkee kila sikuu shooshoo hashiki mimba mienzi minne hashiki mimbaa nikaenda kupeleleza kwaoo nikagundua kua Alisha zalishwa akaachika ,nikafunguka akili kuaa huyu utakuta kafwata matumizi yamtoto tuu kwamdaa naalikua ananichochea nimpeela akafungue biashara nikajua hapa nimepigwaa nikamtaftia makosa akasepa zakee ila alinikamua hatarii maana nilikondaa stress zandoa alafu hakuna mtoto ziskie kwamwenzio ila kwandugu yanguu huyosinglemaza temananaee tena shukuru hujazaanae hujui Mungu anakuepusha na nini