Nimekata tamaa ya kupata Mtoto

Miaka 27 una stress za watoto? Sikulaumu sana ila bado umri unasogea vyema muombe Allah atakufanyia wepesi

Mimi katika umri huo nlikuwa hata sijui nitaoa lini

Nakupa njia hii hapa ni 100%vbi idhin llah km ww ni muislamu

Istighfar will open the doors that have been closed till today. Wealth and children come from Allah and it is in turning to Him that we will get them, not in turning away from Him.

Istighfar sheikh wangu

Kama unaweza kwa siku hata x 2000 au 3000 hata elfu 5000

Haimalizi hata lisaaaa

Astaghfurullah.
 
Mimba sio ufundi,wewe fanya kama jokes wala usiweke.akilini,Kazi ya uumbaji ni Mungu, tulia piga maisha ya kawaida na show zako ziwe simple na uwe unajipa muda tarehe zikikaribia walau wiki moja unapumzika kisubiri right time ili mbegu zikomae vizuri,hayo mambo hayana Mayele ni Kazi ya Mungu
 
Tafuta ovalation test na ujifunze kuhesabu siku za kushika mimba mkeo apime kama mayai yanapevuka na kama hayapevuki atumie dawa atakuwa sawa.
 
Bado mdogo sana kuwa na stress za hivyo mkuu. Relax piga zoezi mdogo msogo ujisahaulishe usimsumbue sana mkeo kwa maneno anaweza beba ya mtu mwingine akasingizia ni wako ili tu kukupoza
Watu bwana mnachukulia simple eti mdogo sasa mlitaka azalishe akiwa na miaka hamsini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…