DOKEZO Nimekata tiketi VIP basi la Happy Nation, lakini halina huduma hadhi ya VIP. Naweza kulalamika wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Si peleka malalamiko yako mahakamani, ytafyta mawakili wawa sue kwa kudanganya watu.
 
Huwzi kufanikiwa.
Inaonyesha VIP ni 150,000, sasa wewe umepewa punguzo na kuwa 120,000 kwasababu uliyoipanda sio VIP.

Hicho kipengele cha bei kwenye tiketi kitakuvua nguo, kausha tu
 
Chukulia poa na bei wamekupunguzia
 
Itakuwa Tahmeed hiyo.
 
Bongo hamna Luxury bus inatakiwa mamlaka husika wazuie hizi kampuni kuita bus zao VIP na VVIP zilizopo ni Ordinary na semi Luxury tena semi Luxury ni chache sana
Sahihi, hakuna tofauti ya Ordinary, semi luxury, VIP wala VVIP. Ukianza na nafasi ya miguu tu katika siti gari zote hiyo nafasi ni sawa na kuna nyingine zinazoitwa za VIP nafasi ni ndogo kuliko hata Ordinary, LATRA wakomeshe huu uhuni.
 
Kwa mujibu wa LATRA, HAKUNA basi ambalo ni LUXURY Tanzania hii. Ndio maana hata nauli wametoa za ORDINARY na SEMI LUXURY na zote kwa nauli ya Bukoba - Dar hazifiki shilingi 100,000/=. Hapo umepigwa na kama unajua kutetea haki zako nenda Ofisi za LATRA zilizo jirani pamoja na tiketi yako UKAKIWASHE!!
 
Wengine tunaamua kupiga kimya,ila kiu kweli biashara nyingi hapa nchini customer care is almost negligible.
Naona hawa nao tutawahama kama tulivyowahama frester.
 
DAR EXPRESS NENDA KAWALALAMIKIE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…