Nimekataa kulipa Pesa ya Taka na ulinzi kama hawatanipa risiti za EFD. Nimepewa barua ya wito serikali za mitaa

Siongezi neno.
 
Unajua Sheria inasemaje au unanishauri Kwa muono wako?

Kwa hîyo wewe Maisha yako yanaongozwa Kwa kuangalia wengi wàpo upande gàni yàani wewe NI fuata mkumbo hata kama unaona Jambo siô Sahihi?
 
Unajua Sheria inasemaje au unanishauri Kwa muono wako?

Kwa hîyo wewe Maisha yako yanaongozwa Kwa kuangalia wengi wàpo upande gàni yàani wewe NI fuata mkumbo hata kama unaona Jambo siô Sahihi?
Umeanza kuwa fundamentalist sugu.Kufuata sana mstari bila kuchanganya za ziada utaonekana a bit gone nut.Sorry!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…