Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Siongezi neno.Kila mwezi huwa nalipa 2000, ya uzoaji Taka, sababu kazi wanayofanya inaonekana, kila wiki hupita na gari lao kukusanya taka.
Si sawa kupingana na walio wengi, katika mtaa wako, hata kamaa kuna mahala hawako sawa (hii ndio busara).
Ndio unahoja ya msingi unataka risiti za EFD, lakini ulitakiwa kwanza kutoa ushirikiano lipa kiasi husika, Then fuatilia serikali za mtaa kupata udadanuzi au mwongozo kwanini hujapewa risiti unayohitaji.