Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Huwa wanazitoa kabisa, wanakua na hizo risiti kibwena.Rob Pole na changamoto, kimsingi una haki ya kudai risiti ya efd kwenye taka kwa sababu kampuni zinazozoa zinatakiwa kuwa na efd machine, ulinzi mtaani hawana efd sijajua upo mkoa gani ila pia ipo shida kubwa ya upatikanaji wa hizo efd machine, imagine kata ina mitaa labda 7 ina efd moja, mara mtandao upo down, mara imeharibika na mengine mengi
Mjinga mpe cheo rob
Ukilipa risiti yako inaandikwa jina kwa mkono pale juu..
Hiyo kua na mashine moja wala sio excuse.
Unadhani kwenye masoko huwa wanadanyaje?? Njia ni hiyo hiyo, zikibaki na wewe mtumishi sio mjanja zitakudodea.