Nimekataa kurudiana naye, sasa anataka kuvujisha picha mtandaoni alizonipiga kwa Siri. Sijui Nifanyaje?

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,455
Reaction score
5,134
Nimekataa kurudiana naye, sasa anataka kuvujisha picha mtandaoni alizonipiga kwa Siri. Sijui Nifanyaje?

Wanajukwaa, nina jambo langu nataka niwashirikishe. Kwa muda mrefu limekuwa likinisumbua, naona linaweza kuhatarisha vitu vingi kwenye maisha yangu. Naombeni mnisaidie.

Nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume fulani. Siku moja nilipokuwa nimelala kwake, alinipiga kwa siri picha za faragha bila mimi kujua. Baadaye mahusiano yetu yakavunjika na kila mmoja akaendelea na maisha yake kwa takribani miaka miwili.

Mara kadhaa amekuwa akinifuata akitaka turudiane, lakini kwangu imekuwa usumbufu. Nilipokataa, alianza kunitishia kuwa atazisambaza picha hizo mtandaoni na kuwatumia watu ninaofahamiana nao, hata watu wa ofisini.

Sijui nifanye nini, kwa sababu tayari amenitumia baadhi ya picha hizo kuthibitisha kuwa bado anazo.
 
Sasa nawe unakataa kurudiana nae kisa Nini, anyway akipost ukamshitaki utajiri huyo!
 
Kamshtaki kwa Siri police usimwambie then siku panga nae meet mumkate na askari then ale kichapo cha kutosha na simu muichukue na kufuta hizo pic kila mahali mpaka kwenye Google photo

Tafuta askari wa kike mpe ata laki 2 unakuwa umesolve hilo swala fast
 
Tukiwaambia mtulize nyuchi zenu mpaka muolewe mnatuona washamba Sasa tulia dawa ikuingie.
Na usipo kuwa makini itakuwa mtumwa wake maisha yako yote.
 
Nimekataa kurudiana naye, sasa anataka kuvujisha picha mtandaoni alizonipiga kwa Siri. Sijui Nifanyaje?

Wanajukwaa, nina jambo langu nataka niwashirikishe. Kwa muda mrefu limekuwa likinisumbua, naona linaweza kuhatarisha vitu vingi kwenye maisha yangu. Naombeni mnisaidie.

Nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume fulani. Siku moja nilipokuwa nimelala kwake, alinipiga kwa siri picha za faragha bila mimi kujua. Baadaye mahusiano yetu yakavunjika na kila mmoja akaendelea na maisha yake kwa takribani miaka miwili.

Mara kadhaa amekuwa akinifuata akitaka turudiane, lakini kwangu imekuwa usumbufu. Nilipokataa, alianza kunitishia kuwa atazisambaza picha hizo mtandaoni na kuwatumia watu ninaofahamiana nao, hata watu wa ofisini.

Sijui nifanye nini, kwa sababu tayari amenitumia baadhi ya picha hizo kuthibitisha kuwa bado anazo.
Kwaiyo tutaona mkizagamuana kule xxporn tz ?
 
Back
Top Bottom