Nimekataa kurudiana naye, sasa anataka kuvujisha picha mtandaoni alizonipiga kwa Siri. Sijui Nifanyaje?

Kama vp anza kuchukua ushahidi wa location/room
Akiziweka hewani unamfungulia mashataka kutaka fidia ya mabilioni.

Hilo biti ni la kishamba sana
 
Nimekataa kurudiana naye, sasa anataka kuvujisha picha mtandaoni alizonipiga kwa Siri. Sijui Nifanyaje?

Wanajukwaa, nina jambo langu nataka niwashirikishe. Kwa muda mrefu limekuwa likinisumbua, naona linaweza kuhatarisha vitu vingi kwenye maisha yangu. Naombeni mnisaidie.

Nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume fulani. Siku moja nilipokuwa nimelala kwake, alinipiga kwa siri picha za faragha bila mimi kujua. Baadaye mahusiano yetu yakavunjika na kila mmoja akaendelea na maisha yake kwa takribani miaka miwili.

Mara kadhaa amekuwa akinifuata akitaka turudiane, lakini kwangu imekuwa usumbufu. Nilipokataa, alianza kunitishia kuwa atazisambaza picha hizo mtandaoni na kuwatumia watu ninaofahamiana nao, hata watu wa ofisini.

Sijui nifanye nini, kwa sababu tayari amenitumia baadhi ya picha hizo kuthibitisha kuwa bado anazo.
Kamsemee kwa baba yake .
 
Huwezi kukubali wapendwa wako wakaona uchi wako na wewe ukakaa comfortably, watu wanajiua kwa issue za namna hii.
Babu siwezi kujiua kwa kuanikwa uchi wangu hadharani

Ila kwasababu huyo mtu kamtishia anaweza kum ripot kabla hajatekeleza huo ujinga ataitwa nakupewa onyo
 
Nimekataa kurudiana naye, sasa anataka kuvujisha picha mtandaoni alizonipiga kwa Siri. Sijui Nifanyaje?

Wanajukwaa, nina jambo langu nataka niwashirikishe. Kwa muda mrefu limekuwa likinisumbua, naona linaweza kuhatarisha vitu vingi kwenye maisha yangu. Naombeni mnisaidie.

Nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume fulani. Siku moja nilipokuwa nimelala kwake, alinipiga kwa siri picha za faragha bila mimi kujua. Baadaye mahusiano yetu yakavunjika na kila mmoja akaendelea na maisha yake kwa takribani miaka miwili.

Mara kadhaa amekuwa akinifuata akitaka turudiane, lakini kwangu imekuwa usumbufu. Nilipokataa, alianza kunitishia kuwa atazisambaza picha hizo mtandaoni na kuwatumia watu ninaofahamiana nao, hata watu wa ofisini.

Sijui nifanye nini, kwa sababu tayari amenitumia baadhi ya picha hizo kuthibitisha kuwa bado anazo.
Nenda police katoe taarifaa na watakusadia lkn kama ni pisi kali jiandae kisaikolojia honey Nyendo

Love you sitaki uaibike kabisaa .
 
Mwambie afanye hicho anachotaka.

Akishafanya fungua kesi.

Au kama humpendi kamfungulie shtaka la blackmailing, askari wakimfikisha kumhoji utamkata wenge la hiyo drama anayotaka kuianzisha.
 
Nimekataa kurudiana naye, sasa anataka kuvujisha picha mtandaoni alizonipiga kwa Siri. Sijui Nifanyaje?

Wanajukwaa, nina jambo langu nataka niwashirikishe. Kwa muda mrefu limekuwa likinisumbua, naona linaweza kuhatarisha vitu vingi kwenye maisha yangu. Naombeni mnisaidie.

Nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume fulani. Siku moja nilipokuwa nimelala kwake, alinipiga kwa siri picha za faragha bila mimi kujua. Baadaye mahusiano yetu yakavunjika na kila mmoja akaendelea na maisha yake kwa takribani miaka miwili.

Mara kadhaa amekuwa akinifuata akitaka turudiane, lakini kwangu imekuwa usumbufu. Nilipokataa, alianza kunitishia kuwa atazisambaza picha hizo mtandaoni na kuwatumia watu ninaofahamiana nao, hata watu wa ofisini.

Sijui nifanye nini, kwa sababu tayari amenitumia baadhi ya picha hizo kuthibitisha kuwa bado anazo.

1. Kisheria sio sawa.
2. Kwa tabia hiyo achana naye Mazima watu wa hivyo anaweza kuja kukuua.
3. Block him, hama unapokaa, let him do whatever he wants to do.
4. Huwa yanapita na aibu huwa zinapita .
 
Mnapata wapi muda wa kupigana picha za uchi nyie wenyewe ndyo mnadinyana mnapopiga picha inamaana mnataka na sisi tuone mi naisubiri kuna wale wanasema ukitaka connection tuma hela mi nitanunua nione utupu wako
 
Mwache avujishe watu wataongea kwa siku mbili watasahau maisha yataendelea
Sio rahisi kama unavyo fikiria,unamjua mleta mada ni nani? Ana position gani? Anafanya kazi wapi? Ana heshima gani kwenye jamii? Madhara atakayo yapata baada ya hizo picha kuvujishwa?

Hapa Solution ni kumreport Polisi tu,hiyo ni Blackmail,Sextortion which is a form of Criminal extortion and Cyberbullying.
 
  • Thanks
Reactions: ---
1. Kisheria sio sawa.
2. Kwa tabia hiyo achana naye Mazima watu wa hivyo anaweza kuja kukuua.
3. Block him, hama unapokaa, let him do whatever he wants to do.
4. Huwa yanapita na aibu huwa zinapita .
Ni kweli dunia Iko chap sana mambo yanasahaulika kiwepesi sana juzi hapa watu walimdis makamu Leo hii kikowapi hata mwezi haujaisha kila mtua kaendelea na yake hii ndo dunia nayo ijua Kwa sasa, muache afanye anavo jua
 
  • Thanks
Reactions: ---
Nimekataa kurudiana naye, sasa anataka kuvujisha picha mtandaoni alizonipiga kwa Siri. Sijui Nifanyaje?

Wanajukwaa, nina jambo langu nataka niwashirikishe. Kwa muda mrefu limekuwa likinisumbua, naona linaweza kuhatarisha vitu vingi kwenye maisha yangu. Naombeni mnisaidie.

Nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume fulani. Siku moja nilipokuwa nimelala kwake, alinipiga kwa siri picha za faragha bila mimi kujua. Baadaye mahusiano yetu yakavunjika na kila mmoja akaendelea na maisha yake kwa takribani miaka miwili.

Mara kadhaa amekuwa akinifuata akitaka turudiane, lakini kwangu imekuwa usumbufu. Nilipokataa, alianza kunitishia kuwa atazisambaza picha hizo mtandaoni na kuwatumia watu ninaofahamiana nao, hata watu wa ofisini.

Sijui nifanye nini, kwa sababu tayari amenitumia baadhi ya picha hizo kuthibitisha kuwa bado anazo.
Akivujisha unakataa unasema A.I
 
  • Thanks
Reactions: ---
Back
Top Bottom