cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Mwache avujishe watu wataongea kwa siku mbili watasahau maisha yataendelea
Uko sahihi sanaaa.
Mwache avujishe watu wataongea kwa siku mbili watasahau maisha yataendelea
Exactly hakuna haja ya kuumizwa kicwaUko sahihi sanaaa.
Kataa kurudiana naye na ujiandae kwa kesi atakapozivujisha.Nimekataa kurudiana naye, sasa anataka kuvujisha picha mtandaoni alizonipiga kwa Siri. Sijui Nifanyaje?
Wanajukwaa, nina jambo langu nataka niwashirikishe. Kwa muda mrefu limekuwa likinisumbua, naona linaweza kuhatarisha vitu vingi kwenye maisha yangu. Naombeni mnisaidie.
Nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume fulani. Siku moja nilipokuwa nimelala kwake, alinipiga kwa siri picha za faragha bila mimi kujua. Baadaye mahusiano yetu yakavunjika na kila mmoja akaendelea na maisha yake kwa takribani miaka miwili.
Mara kadhaa amekuwa akinifuata akitaka turudiane, lakini kwangu imekuwa usumbufu. Nilipokataa, alianza kunitishia kuwa atazisambaza picha hizo mtandaoni na kuwatumia watu ninaofahamiana nao, hata watu wa ofisini.
Sijui nifanye nini, kwa sababu tayari amenitumia baadhi ya picha hizo kuthibitisha kuwa bado anazo.
Afu amuache Tena uwongoWe rudiana naye akupe simu ufute hizo picha
Mkubalie siku moja ila jiandae na camera za siri. Nawe mpige picha halafu mkimaliza mwambie akavujishe na umwonyeshe zake kwamba nawe utavujisha.Nimekataa kurudiana naye, sasa anataka kuvujisha picha mtandaoni alizonipiga kwa Siri. Sijui Nifanyaje?
Wanajukwaa, nina jambo langu nataka niwashirikishe. Kwa muda mrefu limekuwa likinisumbua, naona linaweza kuhatarisha vitu vingi kwenye maisha yangu. Naombeni mnisaidie.
Nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume fulani. Siku moja nilipokuwa nimelala kwake, alinipiga kwa siri picha za faragha bila mimi kujua. Baadaye mahusiano yetu yakavunjika na kila mmoja akaendelea na maisha yake kwa takribani miaka miwili.
Mara kadhaa amekuwa akinifuata akitaka turudiane, lakini kwangu imekuwa usumbufu. Nilipokataa, alianza kunitishia kuwa atazisambaza picha hizo mtandaoni na kuwatumia watu ninaofahamiana nao, hata watu wa ofisini.
Sijui nifanye nini, kwa sababu tayari amenitumia baadhi ya picha hizo kuthibitisha kuwa bado anazo.
Unafikiri ni rahisi kama hivyo? 😂 Kuna sehemu nyingi sana za kuficha picha ambazo kuzifikia mtu baki tu sio rahisi kama hujui, labda na huyo jamaa awe hajui tu..We rudiana naye akupe simu ufute hizo picha
Pole,nipicha tu au mpaka video?Sijui nifanye nini, kwa sababu tayari amenitumia baadhi ya picha hizo kuthibitisha kuwa bado anazo.
Kwa sheria ya Tanzania ndani ya Kanuni ya Adhabu, Penal Code Cap. 16 hiyo inaitwa Kutoa Vitisho ili kumjengea mtu uoga au kula Rushwa kwa vitisho.Nimekataa kurudiana naye, sasa anataka kuvujisha picha mtandaoni alizonipiga kwa Siri. Sijui Nifanyaje?
Wanajukwaa, nina jambo langu nataka niwashirikishe. Kwa muda mrefu limekuwa likinisumbua, naona linaweza kuhatarisha vitu vingi kwenye maisha yangu. Naombeni mnisaidie.
Nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume fulani. Siku moja nilipokuwa nimelala kwake, alinipiga kwa siri picha za faragha bila mimi kujua. Baadaye mahusiano yetu yakavunjika na kila mmoja akaendelea na maisha yake kwa takribani miaka miwili.
Mara kadhaa amekuwa akinifuata akitaka turudiane, lakini kwangu imekuwa usumbufu. Nilipokataa, alianza kunitishia kuwa atazisambaza picha hizo mtandaoni na kuwatumia watu ninaofahamiana nao, hata watu wa ofisini.
Sijui nifanye nini, kwa sababu tayari amenitumia baadhi ya picha hizo kuthibitisha kuwa bado anazo.
Na zile shahawa zake alizomwaga azirudishe siyo?..kwanini kuachana kuwe na uhasama na magomvi?.Pole kwa Hilo ushauri wangu kama ulikula pesa zake halafu kwa sas huna haja naye Fanya kum ludishia hata million 2 kama ww kwake ulikula million Tano mludishie hata mbili tu tafuteni na shahidi zari litakwisha