Nimekataa kurudiana naye, sasa anataka kuvujisha picha mtandaoni alizonipiga kwa Siri. Sijui Nifanyaje?

Wanajukwaa, nina jambo langu nataka niwashirikishe. Kwa muda mrefu limekuwa likinisumbua, naona linaweza kuhatarisha vitu vingi kwenye maisha yangu. Naombeni mnisaidie.

Nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume fulani. Siku moja nilipokuwa nimelala kwake, alinipiga kwa siri picha za faragha bila mimi kujua. Baadaye mahusiano yetu yakavunjika na kila mmoja akaendelea na maisha yake kwa takribani miaka miwili.

Mara kadhaa amekuwa akinifuata akitaka turudiane, lakini kwangu imekuwa usumbufu. Nilipokataa, alianza kunitishia kuwa atazisambaza picha hizo mtandaoni na kuwatumia watu ninaofahamiana nao, hata watu wa ofisini.

Sijui nifanye nini, kwa sababu tayari amenitumia baadhi ya picha hizo kuthibitisha kuwa bado anazo.
Tumfunge ?
au unataka tumpe adhabu gani ...

msiwe mna date na vichaa.. kuna case kama hiyo nimetoka sasa hivi kuipata hadi nimehisi ni wewe.. ila kuna vitu nimeangalia sio wewe.
 
Kwanza huyo jamaa yako mtoe kwenye uanaume,muite mvulana,wanaume hua hatuko hivyo,ulikua una date na mtu mpumbavu sana,

Miaka miwili mmeachana halafu anataka kurudiana kwa nguvu? Unamtishia Mwanamke kusambaza picha zake? Hizo ni pigo za Mapapai,huyo sio Mwanaume,

Nenda kamripoti Polisi,uwaonyeshe na ushahidi wa picha alizo kutumia,kusanya ushahidi kwa kuwasiliana nae kwa msg,

Ina shangaza sana,miaka miwili bado mlikua mna wasiliana! Bado tu alikua na namba yako!
 
Nimekataa kurudiana naye, sasa anataka kuvujisha picha mtandaoni alizonipiga kwa Siri. Sijui Nifanyaje?

Wanajukwaa, nina jambo langu nataka niwashirikishe. Kwa muda mrefu limekuwa likinisumbua, naona linaweza kuhatarisha vitu vingi kwenye maisha yangu. Naombeni mnisaidie.

Nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume fulani. Siku moja nilipokuwa nimelala kwake, alinipiga kwa siri picha za faragha bila mimi kujua. Baadaye mahusiano yetu yakavunjika na kila mmoja akaendelea na maisha yake kwa takribani miaka miwili.

Mara kadhaa amekuwa akinifuata akitaka turudiane, lakini kwangu imekuwa usumbufu. Nilipokataa, alianza kunitishia kuwa atazisambaza picha hizo mtandaoni na kuwatumia watu ninaofahamiana nao, hata watu wa ofisini.

Sijui nifanye nini, kwa sababu tayari amenitumia baadhi ya picha hizo kuthibitisha kuwa bado anazo.
Ukome kuchezea hisia za watu.
 
Pole kwa Hilo ushauri wangu kama ulikula pesa zake halafu kwa sas huna haja naye Fanya kum ludishia hata million 2 kama ww kwake ulikula million Tano mludishie hata mbili tu tafuteni na shahidi zari litakwisha
 
Nimekataa kurudiana naye, sasa anataka kuvujisha picha mtandaoni alizonipiga kwa Siri. Sijui Nifanyaje?

Wanajukwaa, nina jambo langu nataka niwashirikishe. Kwa muda mrefu limekuwa likinisumbua, naona linaweza kuhatarisha vitu vingi kwenye maisha yangu. Naombeni mnisaidie.

Nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume fulani. Siku moja nilipokuwa nimelala kwake, alinipiga kwa siri picha za faragha bila mimi kujua. Baadaye mahusiano yetu yakavunjika na kila mmoja akaendelea na maisha yake kwa takribani miaka miwili.

Mara kadhaa amekuwa akinifuata akitaka turudiane, lakini kwangu imekuwa usumbufu. Nilipokataa, alianza kunitishia kuwa atazisambaza picha hizo mtandaoni na kuwatumia watu ninaofahamiana nao, hata watu wa ofisini.

Sijui nifanye nini, kwa sababu tayari amenitumia baadhi ya picha hizo kuthibitisha kuwa bado anazo.
Peleka polisi mbwa hiyo na uzuri kama una sms ni ushahidi. Uki entertain mtu akublackmail huwa blackmailing haina mwisho
 
Back
Top Bottom