Nimekatiwa maji na watumishi kisa mita yangu inadaiwa tsh elfu moja na Mia Saba hamsini

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
8,723
Reaction score
19,715
Wakuu,
Kuna vitu vinakasirisha kwa kweli iko hivi,
Mimi ni mteja mwaminifu wa huduma ya maji mtaani kwetu,na ni miongoni mwa watu wanaotumia maji bombani kwa kiasi kikubwa

Mtakubaliana na Mimi kuwa serikali kupitia wizara ya maji imeajiri watu wale wa kuunganisha maji kwa wateja na wakapewa pikipiki kwa ajiri ya kazi hiyo
Cha ajabu na Cha kushangaza Jana walikuwa na operation ya kubaini wadaiwa sugu ili kuwakatia maji
Walipofika ktk mita yangu wakasema nadaiwa kiasi Cha 1750 hivyo wanakata maji na ili kuunganishiwa ni mpaka nilipe faini ya TSH 15000

Nikawaambia Mimi sijashindwa kulipa Deni Hilo na nikichekelea kulipa so kwa maksudi Bali ni kujisahahau tu na nalipa punde isitoshe Mimi ni mteja mwaminifu kwa Nini mnikatie kids kiasi kidogo Cha pesa?

Watumishi wakakata maji na
Kuondoka,kwa vile Nina uhitaji wa maji hayo kwa sana ikanibidi niwaite tena waniunganishie,watumishi wakaja nikalipa elfu 15000 wakaniunganishia

Sijaelewa utaratibu wa wizara ya maji kwamba mtu anadaiwa 1750 unakatiwa na kurudishiwa na ili urudishiwe ni mpaka utoe faini

Wizara ya maji naombeni ufafanuzi juu ya hili
 
Wakuu,
Kuna vitu vinakasirisha kwa kweli iko hivi,
Mimi ni mteja mwaminifu wa huduma ya maji mtaani kwetu,na ni miongoni mwa watu wanaotumia maji bombani kwa kiasi kikubwa

Mtakubaliana na Mimi kuwa serikali kupitia wizara ya maji imeajiri watu wale wa kuunganisha maji kwa wateja na wakapewa pikipiki kwa ajiri ya kazi hiyo
Cha ajabu na Cha kushangaza Jana walikuwa na operation ya kubaini wadaiwa sugu ili kuwakatia maji
Walipofika ktk mita yangu wakasema nadaiwa kiasi Cha 1750 hivyo wanakata maji na ili kuunganishiwa ni mpaka nilipe faini ya TSH 15000

Nikawaambia Mimi sijashindwa kulipa Deni Hilo na nikichekelea kulipa so kwa maksudi Bali ni kujisahahau tu na nalipa punde isitoshe Mimi ni mteja mwaminifu kwa Nini mnikatie kids kiasi kidogo Cha pesa?

Watumishi wakakata maji na
Kuondoka,kwa vile Nina uhitaji wa maji hayo kwa sana ikanibidi niwaite tena waniunganishie,watumishi wakaja nikalipa elfu 15000 wakaniunganishia

Sijaelewa utaratibu wa wizara ya maji kwamba mtu anadaiwa 1750 unakatiwa na kurudishiwa ni faini

Wizara ya maji naombeni juu ya hili
Sasa nimethibitisha kuwa yamkini hiyo ni sera yao mpya. Mimi walinikatia kisa nadaiwa sh1200.
Idara ya maji ni pasua kichwa.
 
NIliwai ona waisram kwetu waliletewa ngamia wa kuchinja katika sikukuu zao hizo.
Kuna shekhe alimsalia punda hadi akalala kuchinjwa(ingawa siamin dua ndo ilimlaza).
Sasa kumbe kuna watanzania unaweza mwangalia tu (kwa macho km ya zembwela) akakupa mke wake.
Kifupi
ukihisi una haki/unaonewa ipambanie..
Humu uje na stori nini kilijiri baada ya hapo.
 
ukihisi una haki/unaonewa ipambanie.

Nikakumbuka NO REFORMS, NO ELECTIONS

Msije na vistory vyenu vya kuibiwa kura baada ya uchaguzi! wakati mliingia mkijua kitakachotokea
 
Wakuu,
Kuna vitu vinakasirisha kwa kweli iko hivi,
Mimi ni mteja mwaminifu wa huduma ya maji mtaani kwetu,na ni miongoni mwa watu wanaotumia maji bombani kwa kiasi kikubwa

Mtakubaliana na Mimi kuwa serikali kupitia wizara ya maji imeajiri watu wale wa kuunganisha maji kwa wateja na wakapewa pikipiki kwa ajiri ya kazi hiyo
Cha ajabu na Cha kushangaza Jana walikuwa na operation ya kubaini wadaiwa sugu ili kuwakatia maji
Walipofika ktk mita yangu wakasema nadaiwa kiasi Cha 1750 hivyo wanakata maji na ili kuunganishiwa ni mpaka nilipe faini ya TSH 15000

Nikawaambia Mimi sijashindwa kulipa Deni Hilo na nikichekelea kulipa so kwa maksudi Bali ni kujisahahau tu na nalipa punde isitoshe Mimi ni mteja mwaminifu kwa Nini mnikatie kids kiasi kidogo Cha pesa?

Watumishi wakakata maji na
Kuondoka,kwa vile Nina uhitaji wa maji hayo kwa sana ikanibidi niwaite tena waniunganishie,watumishi wakaja nikalipa elfu 15000 wakaniunganishia

Sijaelewa utaratibu wa wizara ya maji kwamba mtu anadaiwa 1750 unakatiwa na kurudishiwa ni faini

Wizara ya maji naombeni ufafanuzi juu ya hili
Weka ankara yako kwa ushahidi zaidi mkuu.
 
ukihisi una haki/unaonewa ipambanie.

Nikakumbuka NO REFORMS, NO ELECTIONS

Msije na vistory vyenu vya kuibiwa kura baada ya uchaguzi! wakati mliingia mkijua kitakachotokea
Ukimaanisha??
 
binafsi nahisi inahitajika busara; mfano mtu akatiwe maji kama amepitisha zaidi ya miezi miwili bila kulipa.
Theoretically kwa mahali kama Moshi ndio hivyo yaani bill mbili ikija ya tatu ndio wakate ila sasa hawaelewi somo.
Wanakata tu
 
Utakiwi utoe keshi ,faini unailipa kwa control number na inaingia ktk mfuko wa serikali
Ukilipa kwa control number wanajichelewesha kutuma fundi
Kila ukipiga wanakuambia mafundi wote wapo site zinaishia hata siku nne tano

Ila ukilipa cash fundi anakubeba kwenye pikipik yake kabisa mnaenda kifungua🤣

Nchi ya kingese mno hii😁😁
 
Ukilipa kwa control number wanajichelewesha kutuma fundi
Kila ukipiga wanakuambia mafundi wote wapo site zinaishia hata siku nne tano

Ila ukilipa cash fundi anakubeba kwenye pikipik yake kabisa mnaenda kifungua[emoji1787]

Nchi ya kingese mno hii[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli Jana hiyohiyo niliwalipa 15000 si shida kwangu ila lazima nitakupa kisasi! Pikipiki yake kila mala inaua plug inahitaji oil,namjazia upepo nk nitamwambia hela kubwa mpaka ashangae pumbavu huyu cc Khanji kapoor
 
Kisa chako kina uhalisia wa asilimia Mia moja kwasbaba na Mimi na kifahamu vyema .Kwa kifupi mamlaka ya maji haina kosa hapo .kosa NI lako wewe unayetumia maji kizembe kana kwamba wao wataanza kukuhisi Una waibia maji 1750 ina maana unatumiaje maji? Acha wakate Tu kuliko kuchakaza Mita Yao NI heri wakaiweke stoo. Mimi uwa nalipia mpaka laki 2 Kwa maji Tu na sijawai katiwa Ati DENI limefika laki 1 + .inshort wewe sio mteja Bali NI mhujumu uchumi .Samia mitano tena.
 
muda wa kulipa ukifika lipa acha kutoa lawama zisizokuwa na msingi sijaona kosa lao hapo kusahau ni sehemu ya maisha ya binadamu haiingiliani na kazi yao kazi yao ni kukata maji kwa wanaodaiwa kila mtu ataleta sababu ya kusahau
 
Back
Top Bottom