Sasa nimethibitisha kuwa yamkini hiyo ni sera yao mpya. Mimi walinikatia kisa nadaiwa sh1200.Wakuu,
Kuna vitu vinakasirisha kwa kweli iko hivi,
Mimi ni mteja mwaminifu wa huduma ya maji mtaani kwetu,na ni miongoni mwa watu wanaotumia maji bombani kwa kiasi kikubwa
Mtakubaliana na Mimi kuwa serikali kupitia wizara ya maji imeajiri watu wale wa kuunganisha maji kwa wateja na wakapewa pikipiki kwa ajiri ya kazi hiyo
Cha ajabu na Cha kushangaza Jana walikuwa na operation ya kubaini wadaiwa sugu ili kuwakatia maji
Walipofika ktk mita yangu wakasema nadaiwa kiasi Cha 1750 hivyo wanakata maji na ili kuunganishiwa ni mpaka nilipe faini ya TSH 15000
Nikawaambia Mimi sijashindwa kulipa Deni Hilo na nikichekelea kulipa so kwa maksudi Bali ni kujisahahau tu na nalipa punde isitoshe Mimi ni mteja mwaminifu kwa Nini mnikatie kids kiasi kidogo Cha pesa?
Watumishi wakakata maji na
Kuondoka,kwa vile Nina uhitaji wa maji hayo kwa sana ikanibidi niwaite tena waniunganishie,watumishi wakaja nikalipa elfu 15000 wakaniunganishia
Sijaelewa utaratibu wa wizara ya maji kwamba mtu anadaiwa 1750 unakatiwa na kurudishiwa ni faini
Wizara ya maji naombeni juu ya hili
Weka ankara yako kwa ushahidi zaidi mkuu.Wakuu,

Wizara ya maji naombeni ufafanuzi juu ya hili
Theoretically kwa mahali kama Moshi ndio hivyo yaani bill mbili ikija ya tatu ndio wakate ila sasa hawaelewi somo.binafsi nahisi inahitajika busara; mfano mtu akatiwe maji kama amepitisha zaidi ya miezi miwili bila kulipa.
Utaratibu uko hivyo mkuu ila Hawa wanatafuta 15000 ya kula wakikatia nyumba hamsin kila mtaa wanapata za kuhonga malaya 😁binafsi nahisi inahitajika busara; mfano mtu akatiwe maji kama amepitisha zaidi ya miezi miwili bila kulipa.
Utakiwi utoe keshi ,faini unailipa kwa control number na inaingia ktk mfuko wa serikaliUtaratibu uko hivyo mkuu ila Hawa wanatafuta 15000 ya kula wakikatia nyumba hamsin kila mtaa wanapata za kuhonga malaya 😁
Ukilipa kwa control number wanajichelewesha kutuma fundiUtakiwi utoe keshi ,faini unailipa kwa control number na inaingia ktk mfuko wa serikali
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukilipa kwa control number wanajichelewesha kutuma fundi
Kila ukipiga wanakuambia mafundi wote wapo site zinaishia hata siku nne tano
Ila ukilipa cash fundi anakubeba kwenye pikipik yake kabisa mnaenda kifungua[emoji1787]
Nchi ya kingese mno hii[emoji16][emoji16]