Nimekatwa Tsh 5,300 kuhamisha Tsh 50,000 kutoka NMB mobile kwenda M-PESA

Hv kwanini mnakua na hizo banking apps na mnajua ur broke😅

Okay kwa miamala midogomidogo, the trick is chukua hela kwa lumpsum na ishi kwa bajeti/mipango
Mfano chukua laki 4,8,1m ama 5m ili ukae muda mrefu bila kwenda bank ama kutumia hizo app

Unatoa benki unaweka mpesa unatoa kwa wakala kote tozo wewe
Hela yenyewe elf 50!ukifany mara 8!!watakuua
 
"Mama" anakaba jiko na anakaba na choo.

Hakiliki wala hakuendeki.
 
Shit
 
10%
 
Lengo la huduma izi za Mobile Banking lengo ni kufikisha huduma karibu kwa mteja lakini imegeuka kinyume chake izi huduma Ni kama umesogezewa Mwizi mfukoni mwako ukiwa una transaction nyingi Ukichukua statement unaweza lia jinsi wanavyokata.Jamaa wanakata sio mchezo yaan wanakataa hawaangaliii wee una elfu 1 kwennye akaunti au unakalaki jamaaa wanakataa.Trasaction moja Utakuta kuna makato matatu Fees Kakata,Charges Kata na VAT juu.Dah Noma yaani Jamaa hawana huruma Makato everywhere
 
Binadamu wote siyo sawa. Yani iyo shilingi 5,300 unaona nyingiiiii. Mara ya kwanza niliposoma nilidhani umeandika umekatwa 5.3 millions kuhamisha Billion 5.
"Oli tumpafu, kama una hela nyingi nitumie 50,000 PM nna njaa, ebo! [emoji34]" Aliskika mlevi mmoja huku akiyumbayumba
 
Pole,mimi pia walishawahi kunijeruhi.Sina hamu nao....last week kuna staff mate alitaka kumtumia mdogo wake laki 5 nmb mobile to mpesa..nilimtahadharisha...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na akitoa mpesa anakatwa kama ni dar bora apande gari afate. Hii mitandao hula Sana pesa zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…