Nimekoma mimi, katu, katu, katu usitangaze matarajio yako mazuri

Dr. Mariposa

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
5,921
Reaction score
19,772
Ndugu zangu naandika huku natememeka, kulia nataka kucheka nataka yaani kiufupi sijielewi,

Nilikua nikisikia sana watu wakisema usiseme mipango yako, usiamini watu hata akiwa mzazi wako, watu wanatia nuksi, vijicho, husda kiukweli hiyo misamiati kwangu ilikua haipo kabisaaaaaaaa ila sasa nimeamini,

Ishu ilikua hivi, nilirusha ndoano mahali, nikawa nasubiri samaki anase sasa kile kipindi nasubiri samaki anase si ndio nikawaambia wazazi bhana, niombeeni dua nzito mwanenu nikifanikiwa hili baaasi nawapeleka Paris kwanza mkale bata la kifaransa dah mama yangu asimwambie mwanae kipenzi na mwanae kipenzi asimwambie nduguye kipenzi, habari zikasambaa kama moto wa petrol nikavutiwa waya na ndugu zangu vipenzi nikaulizwa ulizwa wee wote walikua na furaha juu yangu, ila kiwango cha pesa sikuwaambia pia mazingira halisi ya jinsi itakavyopatikana nayo sikuwaambia, so wakaniombea duaa nzito, maisha yakaendelea, ila sasa simu kila mara naulizwa kama tayari, pesaaaa🙌🏻

Kwenye ndoano yangu akanasa samaki mkubwa kuliko hata matarajio yangu, tukaanza mchakato stahiki, saini documents kama zote, wakuu tarehe 28/05/2025 maisha yangu yalikua yabadilike, new milionea in town 😎 mara paaaaaap! kibao kikageuka tena kimegeuka mazimaaaa deal off hata sababu haieleweki, yaani nilichanganyikiwa almanusura nizimie,

Nimeapa, mimi Mariposa bin Posa bin Mari nikiwa na jambo langu tena hata sikio la pili halitajua, hata mkono wa pili hautajua, SIRI, SIRI, SIRI,
Sijasema familia yangu imeniwekea kauzibe, ila ninachoona jambo lilijulikana na watu kwa haraka ikaweka husda na kijicho,

Wakuu siko sawa kabisa kila nikikumbuka moyo unalipuka sana😭😭😭😭
 
Ulitaka 'kuhila' midhahabu'nini?
 
Inaitwa Siri sirini.
Mm ndio sehemu ya maisha YANGU napigaga kimya kimya.wanakuja kuona au kuckia tayri.
Kazi ni kipimo cha utu
Ila inataka moyo. Jamani wengine kukaa na kitu moyoni mda wote unawashwa washwa 🤣🤣🤣, pole rafiki jipe moyo kwamba kila jambo lina sababu zake na maisha yaendelee. Yameshanikuta sana tu 😭
 
Huu Ukweli Mtupu Mkuu
1749011539079.jpg
 
Back
Top Bottom