Nimekoma walahi! Pilau la buku nimelinunua kwa 32,000 za dripu mbili

Pole sana, kwa kula kinyesi!
Ila una bahati, ungeanza kutapika na maji kuisha mwilini, imgekuwa pindu pindu.
Na tumpeleke tumpeleke isingekuwa mbali.
 
Sitosahau wiki 4 nyuma nimetoka zangu kazin nikasema nikajipatie zangu mishkak nafika pale 200 bhs ninogewa nikala km ya 4k😅,kesho yake usk aseh nilikoma nilihara km mbwa mwizi hadi nikaishiwa nguvu nilitapika km paka shume wa bar mweee hadi nikataman kulala chin kwamaan niliona nikilala katka sehem barid ndio km napata unafuu hiv nikajikongoja had katka tairizi huku machoz yakitoka toka siku ile sehem niliyokula sijafika tena kwanz napaogopa km ukoma😅
 
Mshtuko wa tumbo tuu wee unaonyesha huajawahi kula mchana😆
 
🤣🤣🤣🤣 Madako yako mfyuuu.!!
Nimecheka yani bando la vijora vyangu MELIA napata kashata.?!! 😭😹😹😹

Nimelia sana 🤣
Melia brand kubwa kijana utakufa kibudu.. jitutumue tukuzike kulekule kiwengwa 😂
 
🤣🤣🤣 mtaji wenyewe laki si tutarudi kwa kuogolea mpk posta 😹

Huyo mume dada hapana ana gubu achana naye, mzaramo mwenzetu hatuwezani naye..!😂😂
Mmmh kweli huyu mzaramo mwenzetu katuweza🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…