Nimekoma walahi! Pilau la buku nimelinunua kwa 32,000 za dripu mbili

Aah acha kumtisha kijana bwana!unajua huyu kijana atakuja toboa tu yuko na plan nyingi ngingi hachagui kazi...nikimpata nampa ushauri aende mgodini mimi natafuta masoko uraiani😂😂
Na sisi hatuishii mipango tu tutaitekeleza laivu. Vakesheni yetu ya zanzibar iko pale pale na hoteli nishaitafuta Manga pwani
 
Attachments

  • 20240522_174243.jpg
    20240522_174243.jpg
    771.8 KB · Views: 4
Na sisi hatuishii mipango tu tutaitekeleza laivu. Vakesheni yetu ya zanzibar iko pale pale na hoteli nishaitafuta Manga pwani
😂😂😂yaani kama nakuona ulivyosimama unaipiga picha huku ukijiapiza siku ukizikamata utavyoingia kuzikomesha hapo...tafadhali usiniache
 
Kumbe Kuna Wana jamiiforums wanaokula misosi magengeni Tena maeneo ya namna hiyo?

Duhh! Jipende na ujithamini!
 
Mm sichagui bidada, nishakulaga ugali mboga ilikuwa sukari. Nipe maisha mama la mama.. mambo mengin yote tutapimiana tu
Ugali na sukari huo ni uji uliochangamka....umenikumbusha siku moja nilikuwa nimefulia sana sina mboga ila nina nyanya na kitunguu na mafuta,kuchek stoo nikaona ule ubuyu mweupe kwa ajili ya juice basi nikaunga na nyanya nikala ugali mkubwa sana🥲
 
Kumbe Kuna Wana jamiiforums wanaokula misosi magengeni Tena maeneo ya namna hiyo?

Duhh! Jipende na ujithamini!
Wana jf hadi wasinda na njaa tupo! Ukitaka kujua nini sababu angalia vipato vya mtanzania wa kawaida vipoje. Jf ina watu wanatafuta ajira ili wapate kulA, pitia jukwaa la ajira uangalie wa kumsaidia mkuu
 
Ugali na sukari huo ni uji uliochangamka....umenikumbusha siku moja nilikuwa nimefulia sana sina mboga ila nina nyanya na kitunguu na mafuta,kuchek stoo nikaona ule ubuyu mweupe kwa ajili ya juice basi nikaunga na nyanya nikala ugali mkubwa sana🥲
Huu ubuyu ni mboga nasikia manyar huko. Na kuna jamaa yangu aliwahi kuvimba bandama kwa sabab ya kufululiza kula huo kama mboga. Man huko unaambiwa mboga ni dagaa au ubuyu. Sio mzur kwa afya huu so hata kama unanunua mwingi na kuuhifadhi usifululize kula
 
😂😂😂yaani kama nakuona ulivyosimama unaipiga picha huku ukijiapiza siku ukizikamata utavyoingia kuzikomesha hapo...tafadhali usiniache
Hizi hoteli nilikuwa nafanya kaz zamani. Kabla sijarudi bongo
 
Attachments

  • 20240523_073709.jpg
    20240523_073709.jpg
    1.1 MB · Views: 3
Kipindi nasoma baada ya kutumia poket money ndivyo sivyo, nishakulaga ugali na mboga 4, nyama ikiwemo, kwa tsh 250, maeneo ya keko kule ndani ndani wanakotengeneza furniture local enzi hizo,
Namaanisha shilingi mia mbili hamsini...

Niliokotwa maeneo ya TCC nimezima,
Tulikua wawili, mwenzangu yeye alikutwa kwenye ule mtaro wa pale kibasila.
 
Good!nzuri tukanywwle cappuccino na tende
Espresso n Sea food bucket flani hivi. Kwanza unaonaje wikend tukienda kula vyakula ambavyo Lamomy Anaviotaga tu pale goba? nikupeleke salad4days masaki pale tukapate fresh fruit salad ikiwa na t-bone mix ya pilau flani hiv.. Asee baki na mm tu
 
Kipindi nasoma baada ya kutumia poket money ndivyo sivyo, nishakulaga ugali na mboga 4, nyama ikiwemo, kwa tsh 250, maeneo ya keko kule ndani ndani wanakotengeneza furniture local enzi hizo,
Namaanisha shilingi mia mbili hamsini...

Niliokotwa maeneo ya TCC nimezima,
Tulikua wawili, mwenzangu yeye alikutwa kwenye ule mtaro wa pale kibasila.
Umezima sabab ya kuvimbiwa au poison y chakula ilkuwa kubwa?
 
Espresso n Sea food bucket flani hivi. Kwanza unaonaje wikend tukienda kula vyakula ambavyo Lamomy Anaviotaga tu pale goba? nikupeleke salad4days masaki pale tukapate fresh fruit salad ikiwa na t-bone mix ya pilau flani hiv.. Asee baki na mm tu

Lamomy huyu mbona kama anatufaa kwenye familia yetu hivi?anajua vitu vya kijanja sana japo kala pilau la buku jero kumbe analijua pilau la 25k...Kalagabaho mimi nipo tayari kwenda kula t-bone ila nitakula na mashed potatoes tukimaliza nishushie na mojito bariiiiidiiii
 
Mambo yanazidi kupamba moto naona shem umejitosa liwalo na liwe 😂😂😂

Hivyo vitu ulivyotaja sijui km sis atachomoa, ndo mambo yake hayo..!
Endelea bado kidogo unanyakua kombe. 😹
 
Lamomy huyu mbona kama anatufaa kwenye familia yetu hivi?anajua vitu vya kijanja sana japo kala pilau la buku jero kumbe analijua pilau la 25k...Kalagabaho mimi nipo tayari kwenda kula t-bone ila nitakula na mashed potatoes tukimaliza nishushie na mojito bariiiiidiiii
Nilijua atakuvutia na hivyo vitu 🤣🤣🤣
Huyu mjanja mjanja mno uwe naye makini hivyo vitu anavijua kakaa sana Zanzibar na watalii 😹
 
Aah acha kumtisha kijana bwana!unajua huyu kijana atakuja toboa tu yuko na plan nyingi ngingi hachagui kazi...nikimpata nampa ushauri aende mgodini mimi natafuta masoko uraiani😂😂
Ehh.! Sisy ushafolo ini lavu!! 😜
Mbona mapema sasa jamani khaa.!!

Haya Kalaga Baho Nongwa kazi kwako dada huyo, mi nakaa pembeni nisije kuitwa shemeji kisebengo 😹😹😹
 
Back
Top Bottom