Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
🤣🤣🤣 waliweka hamira pole, sema wewe mmelo hukomi!!Buku tu.. unashushiwa kifusi uhangaike nacho..
Nakumbuka tuko udsm 2018 nikapelekwaga kwa mafundi wale wanaojenga kijazi miaka hiyo. Msosi wa buku sikuumaliza mana mwingi sana lakin kutoka pale kwenda chuo niliishia Coet tu nikaanza kukimbiza mwenge