Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Aaah acha kabisa😂😂🤣🤣🤣🤣🤣Ila wewe...
Mpe ile experience kidogo😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah acha kabisa😂😂🤣🤣🤣🤣🤣Ila wewe...
Mpe ile experience kidogo😄
😂 lazima upate mshtuko hadi kwenye utumbo mpana.Kuna mmoja alikula wali nyama (mwingi), na matunda. Alikua na uhakika ile menu haifiki 5,000.
Akaingiza mkono mfukoni akakamata buku tatu akawa ananyoosha mkono kulipa huku anauliza bei. Muuzaji akamwambia nipe hiyo 1,000, akauliza kivipi? Alipoambiwa chakula alichokula ni cha shilingi 850 tumbo likaanza kumkasnga hapo hapo
Wa kushiba kabisa, maharage, mboga za majani , dagaa na pilipili ya kujipimia mwenyewe.Na ni mwingi?
Kijana wako Juice ndio imezingua sio pilau.Pole sana kijana wangu
Ndio maana nasema hicho chakula hata uandaaji wake ni wa mashaka sana.Wa kushiba kabisa, maharage, mboga za majani , dagaa na pilipili ya kujipimia mwenyewe.
Maji baridi kwenye jagi for free.
Ila kama tumbo lako ni tia maji tia maji usisogee maeneo hayo, mazingira yake huwa sio rafiki na mahi yake ni 100% ya kudownload(sio salama).
Kuna kipindi fulani nilikuwa Naishi na Vijana wa Kijerumani tulikuwa tunapenda sana kachumbari na aliyekuwa anatengeneza hiyo Kachumbari ni Kijana wa Kijerumani na ilikuwa tamu kweli. Nyanyq, karoti, mapachichi na matunda mengine. Kumne yule Mjinga alivyokuwa anaandaa alikuwa anaenda kukinga maji kwenye bomba la chooni na anakojolea na mkojo. Aisee siku niliyomfumania nilimchana makavu na akaniambia nisiwaambie wenzake 😃😃Pole sana mm kunawakat huwa napitia hali hiyo nikila mgahawani hasa kutapika
Nilichogundua wakt mwingine ni mchanganyo wa mafuta na yaliyopikiwa vyakula tofaut tofaut mfano mafuta wanakaangia bagia,maandazi katless badae wanapikia nyama kuku na ng'ombe wakimaliza wanapikia pilau .
Kingine viungo navyo kutumia vilivyokaa mda mrefu nalo tatizo
Uchafu nishawah mkuta mama muuza pilau sehemu anachanganya kachumbari na mikono 😀
Km tumbo sio zuri lazima uharishe
Mama ntilie wengi uandaaji wa msosi ni changamoto sio wa huo wa bei rahisi tu.Ndio maana nasema hicho chakula hata uandaaji wake ni wa mashaka sana.
Sema mwenetu Kalagabaho nae ana heka heka sana 😁mi tangu naanza kutafuta maisha sijawahi kuona pilau linauzwa 2000 hua ni 4000++Kijana wako Juice ndio imezingua sio pilau.
Pilau la buku lipo bhana, mara ya mwisho nilikula Buguruni Malapa kama unaelekea Lekam Hotel. Mwaka 2014Sema mwenetu Kalagabaho nae ana heka heka sana 😁mi tangu naanza kutafuta maisha sijawahi kuona pilau linauzwa 2000 hua ni 4000++
😂😂😂😀sema zinakuaga tamuKuna kipindi fulani nilikuwa Naishi na Vijana wa Kijerumani tulikuwa tunapenda sana kachumbari na aliyekuwa anatengeneza hiyo Kachumbari ni Kijana wa Kijerumani na ilikuwa tamu kweli. Nyanyq, karoti, mapachichi na matunda mengine. Kumne yule Mjinga alivyokuwa anaandaa alikuwa anaenda kukinga maji kwenye bomba la chooni na anakojolea na mkojo. Aisee siku niliyomfumania nilimchana makavu na akaniambia nisiwaambie wenzake 😃😃
Mjini hapa bwashee😂utalishwa vya ajabuMzee mwenzangu Mpaji Mungu ilikuwa jumatano maeneo ya Vingunguti hiyo supu jero na chapati jero jero mpaka nilishangaa natoa 5000 narudishiwa 3500🤣🤣🤣
View attachment 3110650
Msosi wa buku lazima uwe mchachu mchachu kama ukwaju.Mama ntilie wengi uandaaji wa msosi ni changamoto sio wa huo wa bei rahisi tu.
Huo bei rahisi kutokana na watu wa maeneo hayo na mchele unaotumika sio super, ila migahawani mchele unakua mzuri ila uandaaji zero.
Binafsi kama mama ntilie yeye binafsi au mfanyakazi wake ni mchafu ndio huwa nakosa amani kabisa na msosi wa hapo.
😂😂😂 Ni msosi mzuri tu mzeeMsosi wa buku lazima uwe mchachu mchachu kama ukwaju.
Hapana misosi ya hivyo ni hatari kwa afya ya tumbo lako, muda wowote kinaumana.😂😂😂 Ni msosi mzuri tu mzee
Kama wa kishua hii misosi haiwezi kukufaa.Hapana misosi ya hivyo ni hatari kwa afya ya tumbo lako, muda wowote kinaumana.
K/koo kuna msosi wa buku mitaa gani??Kama wa kishua hii misosi haiwezi kukufaa.
Misosi yenyewe ya hivyo iko karibu na masoko na masoko ya daslam hali yake unaijua.
K/koo sijajua ila lazima machimbo yapo tu hasa pembezoni jama kule jangwani karibu na kigogo lazima tu utakuta maeneo hayo, upande wa kidongo chekundu kule.K/koo kuna msosi wa buku mitaa gani??
Hata shimoni sidhaniK/koo sijajua ila lazima machimbo yapo tu hasa pembezoni jama kule jangwani karibu na kigogo lazima tu utakuta maeneo hayo, upande wa kidongo chekundu kule.
Hapo katikati hukuti msosi wa buku labda shimoni kule.