Nimekoma walahi! Pilau la buku nimelinunua kwa 32,000 za dripu mbili

Kuna mmoja alikula wali nyama (mwingi), na matunda. Alikua na uhakika ile menu haifiki 5,000.
Akaingiza mkono mfukoni akakamata buku tatu akawa ananyoosha mkono kulipa huku anauliza bei. Muuzaji akamwambia nipe hiyo 1,000, akauliza kivipi? Alipoambiwa chakula alichokula ni cha shilingi 850 tumbo likaanza kumkasnga hapo hapo
😂 lazima upate mshtuko hadi kwenye utumbo mpana.
 
Na ni mwingi?
Wa kushiba kabisa, maharage, mboga za majani , dagaa na pilipili ya kujipimia mwenyewe.

Maji baridi kwenye jagi for free.

Ila kama tumbo lako ni tia maji tia maji usisogee maeneo hayo, mazingira yake huwa sio rafiki na mahi yake ni 100% ya kudownload(sio salama).
 
Pole sana mm kunawakat huwa napitia hali hiyo nikila mgahawani hasa kutapika

Nilichogundua wakt mwingine ni mchanganyo wa mafuta na yaliyopikiwa vyakula tofaut tofaut mfano mafuta wanakaangia bagia,maandazi katless badae wanapikia nyama kuku na ng'ombe wakimaliza wanapikia pilau .
Kingine viungo navyo kutumia vilivyokaa mda mrefu nalo tatizo
Uchafu nishawah mkuta mama muuza pilau sehemu anachanganya kachumbari na mikono 😀
Km tumbo sio zuri lazima uharishe
 
Ndio maana nasema hicho chakula hata uandaaji wake ni wa mashaka sana.
 
Kuna kipindi fulani nilikuwa Naishi na Vijana wa Kijerumani tulikuwa tunapenda sana kachumbari na aliyekuwa anatengeneza hiyo Kachumbari ni Kijana wa Kijerumani na ilikuwa tamu kweli. Nyanyq, karoti, mapachichi na matunda mengine. Kumne yule Mjinga alivyokuwa anaandaa alikuwa anaenda kukinga maji kwenye bomba la chooni na anakojolea na mkojo. Aisee siku niliyomfumania nilimchana makavu na akaniambia nisiwaambie wenzake 😃😃
 
Mama ntilie wengi uandaaji wa msosi ni changamoto sio wa huo wa bei rahisi tu.

Huo bei rahisi kutokana na watu wa maeneo hayo na mchele unaotumika sio super, ila migahawani mchele unakua mzuri ila uandaaji zero.

Binafsi kama mama ntilie yeye binafsi au mfanyakazi wake ni mchafu ndio huwa nakosa amani kabisa na msosi wa hapo.
 
Sema mwenetu Kalagabaho nae ana heka heka sana 😁mi tangu naanza kutafuta maisha sijawahi kuona pilau linauzwa 2000 hua ni 4000++
Pilau la buku lipo bhana, mara ya mwisho nilikula Buguruni Malapa kama unaelekea Lekam Hotel. Mwaka 2014
Sijui sasa hivi kitakuwa sh ngapi
 
Mzee mwenzangu Mpaji Mungu ilikuwa jumatano maeneo ya Vingunguti hiyo supu jero na chapati jero jero mpaka nilishangaa natoa 5000 narudishiwa 3500🤣🤣🤣
20240923_122938.jpg
 
Kuna kipindi fulani nilikuwa Naishi na Vijana wa Kijerumani tulikuwa tunapenda sana kachumbari na aliyekuwa anatengeneza hiyo Kachumbari ni Kijana wa Kijerumani na ilikuwa tamu kweli. Nyanyq, karoti, mapachichi na matunda mengine. Kumne yule Mjinga alivyokuwa anaandaa alikuwa anaenda kukinga maji kwenye bomba la chooni na anakojolea na mkojo. Aisee siku niliyomfumania nilimchana makavu na akaniambia nisiwaambie wenzake 😃😃
😂😂😂😀sema zinakuaga tamu
 
Mama ntilie wengi uandaaji wa msosi ni changamoto sio wa huo wa bei rahisi tu.

Huo bei rahisi kutokana na watu wa maeneo hayo na mchele unaotumika sio super, ila migahawani mchele unakua mzuri ila uandaaji zero.

Binafsi kama mama ntilie yeye binafsi au mfanyakazi wake ni mchafu ndio huwa nakosa amani kabisa na msosi wa hapo.
Msosi wa buku lazima uwe mchachu mchachu kama ukwaju.
 
K/koo kuna msosi wa buku mitaa gani??
K/koo sijajua ila lazima machimbo yapo tu hasa pembezoni jama kule jangwani karibu na kigogo lazima tu utakuta maeneo hayo, upande wa kidongo chekundu kule.

Hapo katikati hukuti msosi wa buku labda shimoni kule.
 
Back
Top Bottom