Nimekoma walahi! Pilau la buku nimelinunua kwa 32,000 za dripu mbili

Jichanganye 😂😂😂
Ss hivi yupo kkoo winga ila ana kiwanja chao cha urithi kipo kijichi, labda akupe ndo mkae mezani 😹
😋😋😋😋kijichi...
Lakini kijichi kweli isije kuwa mgeni nani maana mle ndio naona kumekaa nyumba za urithiurithi 😂😂?
 
Hali hii leo mbona kazi ipo!

Katika pitapita zangu maeneo flani flani hiv nikasikia sauti kutoka katika kipaza ikinadisha "pilau buku, pilau nyama buku... njoo ujipatie". Nikaona yesss, dunia ni yetu sote.

Nikajikoki pale ndizi ya mia mbili na juisi ya muwa. Nikaketi taratiibu nijipimie. Wallahi punde baada ya kujishindilia pilau la nazi nikasikia "prrr prrrr prrr" tumbo linaunguruma na maumivu kias.

Nikajaa kujishtukia niko mlangoni mwa choo cha msikiti mana hata nauli iliishia kwemye choo cha kulipia. Nikajimaliza pale vya kutoshana nguvu ikatoweka, nikaomba msaada wa pikipiki ya msikiti nikapelekwa hospitali. Hapa nilipo nina drips ya pili na nishamaliza elfu 32 kwa matibabu haya yanayoendelea

Dua zenu wazee
Ulikula mavi
 
Kumbe,!mi nilipita kama naenda mikwambe kuna kituo cha politics mbele kidogo kuna njia ya vumbi ndio huko ndanindani nikajua ndio vikunai
Ile vikunai ambayo ina nyumba za mradi. Kuna vikunai ina nyumba za raia tu. Tumeokota sana koroshi kipind hiko. Zile ghorofa pale zimeificha vikunai ya kila mtu
 
Basi kama mtaa ndio ule wewe ni wangu wa kufa na kuzikana,napanga begi nguo nakuja muda huu huu
Narudi Unguja next week. Kuna Hotel naenda kupiga reception siku mtakayokuja Zanzibar mnakaribishwa sana
 
Hali hii leo mbona kazi ipo!

Katika pitapita zangu maeneo flani flani hiv nikasikia sauti kutoka katika kipaza ikinadisha "pilau buku, pilau nyama buku... njoo ujipatie". Nikaona yesss, dunia ni yetu sote.

Nikajikoki pale ndizi ya mia mbili na juisi ya muwa. Nikaketi taratiibu nijipimie. Wallahi punde baada ya kujishindilia pilau la nazi nikasikia "prrr prrrr prrr" tumbo linaunguruma na maumivu kias.

Nikajaa kujishtukia niko mlangoni mwa choo cha msikiti mana hata nauli iliishia kwemye choo cha kulipia. Nikajimaliza pale vya kutoshana nguvu ikatoweka, nikaomba msaada wa pikipiki ya msikiti nikapelekwa hospitali. Hapa nilipo nina drips ya pili na nishamaliza elfu 32 kwa matibabu haya yanayoendelea

Dua zenu wazee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom