Nimekoma walahi! Pilau la buku nimelinunua kwa 32,000 za dripu mbili

Kachumbari na sharubati (juice) ya miwa ni hatari Sana kwa afya ya mlaji.
Hivyo havipikwi kupata magonjwa ya tumbo nje nje dakika 10 tu.
Hilo pila kama pilau huenda lilikuwa salama na safi.
Kachumbari inawezekan masalo. Juisi ya miwa usafi wake levo ile inaelewekaga si ya kuharisha japo sio usafi unaoridhisha
 
Nilikua kipenzi cha mishikaki ya mia mia. Kwa siku nilikua nakula mishikaki 10 - 20.

Niliugua Hpylori, nilitumia zaidi ya laki 5 kwenye matibabu.

Toka kipindi hicho ninaishi na usemi "cheap is expensive".

Sili vitu hovyohovyo barabarani.
Kama bado umeendekeza na kiss zile za kubadilishana mate bado uko kwenye hati hati za kuumwa tena ila hongera kwa kuikimbia njia moja wapo inayosababisha ugonjwa kuenezwa.
 
Wanasema tamaa mbele,mauti nyuma.
 
Pilau limepikiwq rosti la minyanya pembeni na nyama moja imechomwa flani hivi.. nikipata nafuu narudi tena

Waniue tu
Utanambia siku na Mimi ukirudi ili niwe referee.

Sometimes huwa napitaga hapo mabucha ya SAMAKI nasikiaga πŸ”Š pilau buku..

Nimesikia fununu fununu za uwepo wa cholera endemic eruption disease πŸŒ‹ in the city.
 
Mkeo alikuwa songea mkutanoni au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…