Nimekosa ajira za ualimu tena

Pole sana mkuu
Chukulia poa tu utaumia rohoni kwa vitu kam ivi maana utafikiria adi akili itachoka may be Mungu amekuandikia pengne kila kitu kinasababu yake
 
Pole sana. Usikate tamaa, kama mlango huo wa ajira umegoma kufunguka jaribu mlango mwingine!
 
Ambao hatujapata ajira mpaka sasa, uhakika wa kupata ni kuanzia mwaka 2032.

Mark my words
 
Pole sana ila kama una akiba kidogo soma hata kozi fupi VETA itakusaidia kujiajiri angalau upate ujuzi kidogo ila kama una ujuzi wowote endelea nao tu
 
Subiri na majina ya kwenye sensa next week,

Ukikosa na huko mfate Roma mkatoliki Zimbabwe [emoji38]
 
Ninashangaa waliomaliza 2021 wamechaguliwa.
Mfumo unatumika unatakiwa kabla majina hayajatangazwa yapitie TISS NA TAKUKURU wakishajiridhisha ndipo Majina ya tangazwe na yatangazwe na kupanga vitu. Vinginevyo tunapigwa
Yaani teeth ingalie majina ya waliochaguliwa ualimu badala ya kuangali ni kwa namna gani M23 hawajipenyezi kwenye mipaka ya Tz

Labda teeth ya akina sabaya.
 
Ndokawaida yao, mbona afya hawalaumu. Yani walimu bhana Kuna mtu alikutuma ufeli form six unaenda kuchukua bachelor of arts unataka uajiliwe kwani mliandikishana mkataba kuwa serikali lazima ikuajili [emoji12][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Acha kuongea kama huna akili timamu
Maswala ya kufeli yanahusianaje
Upunguzage kiherehere kijana😒
 
Ndokawaida yao, mbona afya hawalaumu. Yani walimu bhana Kuna mtu alikutuma ufeli form six unaenda kuchukua bachelor of arts unataka uajiliwe kwani mliandikishana mkataba kuwa serikali lazima ikuajili [emoji12][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unajua form six nilitoka na division 2 nzuri tu usingebwabwaja urojo wako hapa, kitu Kama hukijui tulia tu.
 
Unajua form six nilitoka na division 2 nzuri tu usingebwabwaja urojo wako hapa, kitu Kama hukijui tulia tu.
Mliingia mkataba na serikali kuwa kukuajili ni lazima???, halafu ualimu Kuna nini ndugu? Watu wanaacha kazi nyie mnakimbilia kazi ya ualimu, nenda kavue samaki mtoni wapo kambare kibao, kambare mkubwa moja ni 2000 ukipata kambare 50 tu ni shilling laki moja kwa mwezi ni million 3 halafu unataka ualimu wa kazi gn mbona akili zenu zimedumaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…