Nimekosa ajira za ualimu tena

Nakushauri vuta subra Mungu atakuona siku isiyo na Jina.

Pia nakushauri nenda Kwa viongozi wako wa dini wakupige maombi ya kutosha kuondoa mikosi mwilini mwako
 
Haki Nchi hakuna. Wa 2021, 2020, 2019, 2018, 2016, 2015 hawakapata Ajira kwenye Mfumo Rasmi wa Serikali. Kwa wanaothamini Vijana wao Priority inabidi iwe walioanza kuhitimu ndio waanze. Kijana hajasota anakuwa wa kwanza kupewa huku wa Zamani akiachwa. Ni Maumivu saaaana Vijana wanapitia.
 
Pole Sana ndugu
 
Alukuja mshikaj wangu anaomba nimtizamie mambo hayo ya ajira maana yeye hana kifaa cha intanet. (Ana kitoch tu)
Nikazama kwenye tuvuti ya tamisemi na kupakua orodha ya waalimu. Kuna jumla ya kurasa 125 na waliochagiliwa ni 9800.
Tuliangalia jina la kwanza had la mwisho hakuwepo. Nilimhurumia sana maana mm STEGEMEI KUAJIRIWA. aliondoka bila kuaga.
Ila naomba wajuvi wa lugha mnijuze kurasa zote 125 kichwa cha habar wizara
imeandika "WALIOAJILIWA" je hii sawa?
 
Ndio maana madogo wanaleta dharau, yaan fresh from college anapata ajira wkt kuna kaka na dada zake wana miak wapo na pengne wana sifa zaidi kuliko yao. Aisee, tutafika tu.
 
Shid
Shida iko wapi kwenye hicho kichwa cha habari
 
Inategemea na uhitaji,Physics wamechukua 1978 nchi nzima,History 79 nchi nzima.Kwa iyo wa History watalia wengi.
 
Miaka 34 bado unaomba kazi tena ualimu [emoji3]
Kuna watu mna matatizo vichwani sio bure,nyie ndo mnaopigwa hela na manabii feki mana akili hamna.
 
Ha ha yan akili mbovu sana mtu analilia kaz anbayo haimpi hata milion kwa mwezi,si uchizi huo.
 
Serikali ingejitahidi kuzingatia mwaka mtu alomaliza chuo.Mfao wajikite kweny kuwamaliza wale wa 2015,then wamalize2016...nakuendelea.Kwa njia hii hata mtu akikosa ajira hatalalamik San cz anajua zamu yke itafika wambele yake wakiisha
 
Ha ha yan akili mbovu sana mtu analilia kaz anbayo haimpi hata milion kwa mwezi,si uchizi huo.
Kwake ina thamani kubwa kwakuwa ameisomea na imemgharimu muda na fedha.
Muhimu kuliko zote ni opportunity costs!
 
Dah pole Sana
 
Fikiria plan B, ipange plan B vizuri...songa mbele kwa mtanguliza Mungu. Kuna watu hawana ata hicho cheti chako cha Degree...fikiria kutumia talanta alizokupa Mungu. Mwombe Mungu sana.
 

Naishukuru Serikali ya Chichiemu na Mama Chamia kwa kuleta royal tua haya nimatokeo chanya
 
Yangu ni 2.8 lakini ninarafiki zangu tuliokua wote Wana 4.0, 3.8 na 3.2 na wote wa 2015 nao chalii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…