Nimekosa ujasiri kwenye hili

πŸ˜‚ Mtu unaweza kuwa chizi kisa ujinga tu, nimepokea ushauri ngoja tukae kijanja tu mana watu wanachange Tena ukizingatia hata hati ya nyumba sijawai iona.
 
Ila si mwanaume anatakiwa kujiongezaa?nikizungumzia hati saiv ataniogopa mana ndio mwez wa 5 huu[emoji28]
Basi muache ajenge siyo unachangia ujenzi afu anakuja kukaa mme mwenzio unaanza kulalama,na pia ni bora ukamfahamu vyema huyo mdada
Na kitendo cha kutumwa ukasimamie ujenzi kina walakini either kuna namna unaonekana unafaa kutumwa tumwa
 
Mkuu hapo mwenye confidence hapo🀝 πŸ˜‚ ndio nahisi nakwamaa boss
Hapo ndo point unatakiwa kukaza sana usimchekee na akijua weakness ni hiyo umeliwa na manyoya 🀣🀣🀣🀣wanawake hawataki weakness kabisa
 
Sanaaa[emoji23], Mimi ni mtu wa kaskazini wanapoishi wameru mkuu.
Utakuwa na matatizo basi kwani kuolewa kunatoa uanaume wako ndani sarakasi forinkonko zote si unaruka
 
Na wasiwasi hyo nyumba sio yake ila anasimamia tu kama unavyosimamia wewe.
 
Basi muache ajenge siyo unachangia ujenzi afu anakuja kukaa mme mwenzio unaanza kulalama,na pia ni bora ukamfahamu vyema huyo mdada
Na kitendo cha kutumwa ukasimamie ujenzi kina walakini either kuna namna unaonekana unafaa kutumwa tumwa
Sawaa boss nmekuelewaπŸ™
 
Utakuwa na matatizo basi kwani kuolewa kunatoa uanaume wako ndani sarakasi forinkonko zote si unaruka
πŸ˜€Ya nini yote hayo? Boss io kitu never ni bora nibaki na matatizo yangu tu kuliko uo ushaur mkuu🀝
 
Kama mnapendana na mna future, hakuna ubaya kusaidia project zake, ila pambana kuongeza kipato ili aone juhudi zako pia. Zingatia Rais wetu ni nani?
 
vingine kuja a server tu, ifike muda wanaume tujiamini basi, sio kila kukicha humu kuomba ushauri
 
πŸ˜‚ Sawaa mzee, hati kuichukua naweza ngoja nilinoe gegedo langu nlipige na service week lijalo likasaidiane na mdomo kupata hati
Hahahahah kula sana tikiti maji,ndiz mbivu na tende utanishukuru! Usisahau maji mengi na zoezi kidogo
 
Unapoenda site yeye anakuwa wapi?

Kwanini msiwe mnaenda pamoja, au yeye yupo busy zaidi?
 
[emoji3]Ya nini yote hayo? Boss io kitu never ni bora nibaki na matatizo yangu tu kuliko uo ushaur mkuu[emoji1666]
Bro kuolewa si kwamba unakaa ndani tu mkuu si unakuwa na kazi zako[emoji23][emoji23][emoji23]zinakuingizia hela lakini hazimshindi zile za mwenzako [emoji23][emoji23] usiogope kuolewa mzeee ni raha kwanza kunakupunguzia majukumu ya hapa na pale[emoji23][emoji23] tuolewe kwa afya mzeee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu nitumie namba yake tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…