Nimekosana na rafiki yangu baada ya kumdai pesa niliyomkopesha

Shida ni huyo rafiki yake akiwa ni mbavu mbona atamuua ?
Kikubwa angalia unayemfanyia huo ujanja awe mchovu kwako bila hivyo utamwagwa meno yote

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Classmate wangu aliwahi kubadili njia baada ya kuniona, nilikuwa namdai hela kwa kipindi cha miaka 3.

Ila baadae nilikomaa akanilipa, toka siku hiyo hatujawahi kuwasiliana, tumebaki kutazamana status tu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sim iwe nzur, Sasa kama ni kitoch
 
Sasa ushahidi unao unaogopa nini? Kafanye tukio kachukue godoro, chandarua, jiko na vyombo vya kupikia! Na unachoona anatumia kila siku hata kama thamani yake ni ndogo.
Halafu mwandikie msg kwamba bado unamdai 5m.
Atapaniki atajibu siyo 5 ni 1.
 
Mentality ya kimaskini ni kukopa pesa na kutolipa,
Sasa mtu una faida gani kama unapewa hata 20K tu na haulipi kwa wakati? Bas haulipi toa reason ya maana, ila hulipi na unaendelea kula bata zako + simu wala SMS hujibu,

Ni uswahili mtupu, watu wa style hii sio wa kuwa nao karibu
 
akiwahi hivyo anakuwa jumla mpaka kwa mwenye hela[emoji38][emoji38].
 
Mkuu nashukuru umemjibu. Nilikuwa nafikiria namna nzuri ya kumjibu huyu
 
Unakopesha miezi hii!!! Dunia imechuchumaa..
Pole.
 
Kwakweli ukitaka mkopesha mtu Bora akuachie kitu chenye thamani laa sivyo usimpe kbsa sema hauna au akitaka laki 1 we mpe 50 tu kama zawadi nyingine akatafute kwingine
 
Kwakweli ukitaka mkopesha mtu Bora akuachie kitu chenye thamani laa sivyo usimpe kbsa sema hauna au akitaka laki 1 we mpe 50 tu kama zawadi nyingine akatafute kwingine
Wenzako siku hizi wanabaki na kadi za bank...
 
Mkuu inaonesha kuwa wewe ni mkopaji na huna tabia ya kurudisha pesa kwa wakati,acha hiyo tabia,inakera, ulliyemkopa anaweza asikwambie inakera sana .
 
Wahuni wanaripoti kupotelewa simu,unakamatwa
 
Pole sana mkuu, mimi kuna jamaa yangu mmoja nilimkopesha 70,000 mwaka sasa umeisha hataki kunipa pesa yangu lakini nimeahidi siwezi kumsamehe kamwe pesa yangu inaniuma sana.

Na nimepanga nitawaeleza familia yake yote kuanzia mke wake,baba yake na watoto wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…