Nimekosana na rafiki yangu baada ya kumdai pesa niliyomkopesha

Marehemu Baba yangu aliwahi kuniambia.
1•Siku zote kopesha kile kiwango ambacho uko tayari kukipoteza.
2•Ukitaka kudumisha urafiki kati yako na marafiki zako kamwe usiwakopeshe pesa. Bora umkopeshe pesa mtu asiye rafiki yako.
 
Sh20,000/= imemkimbiza jamaa angu Fulani toka mwezi wa kumi mwishoni mpaka Sasa. Kila nikimkumbushia drama kibao Kila tatizo anapata yeye, dhulma yeye, hasara yeye mpaka naona jau kumkumbusha maana inakuja kuonekana nataka kua matonya(ombaomba) kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…