Nimekua nikisumbuliwa na hamu kufanya mapenzi mara kwa mara hadi sasa idadi ya wanawake ni wengi nisaidieni jamani

Habarini wakuu mimi kijana wa miaka 27 tu lakini nahisi mpaka sasa nimeshafanya mapenzi na wanawake idadi inakaribia 50

Najiuliza kwanini hii hali inanitokea siipendi naichukia yaan mwanzo wa mwaka huu hali ilikua shwari hadi mwezi wa tisa nilikua nimefanya mapenzi na wanawake wanne tu kwa kweli niliona nimevuka hatua kubwa

Ila baada ya matatizo ya kiuchumi kunipata nimekuta niko na hali ile ile najitahidi kusali sana Mungu aniepushe adhama nafikria mwakani niweze kuoa tu kwa sababu hali hii inatisha.
Tukusaidie kukupa connection ya wanawake wengi zaidi? Unadhani kuna trophy ya bingwa wa uzinifu? Utakuja kukojoa dagaaa ohoooo
 
Habarini wakuu mimi kijana wa miaka 27 tu lakini nahisi mpaka sasa nimeshafanya mapenzi na wanawake idadi inakaribia 50

Najiuliza kwanini hii hali inanitokea siipendi naichukia yaan mwanzo wa mwaka huu hali ilikua shwari hadi mwezi wa tisa nilikua nimefanya mapenzi na wanawake wanne tu kwa kweli niliona nimevuka hatua kubwa

Ila baada ya matatizo ya kiuchumi kunipata nimekuta niko na hali ile ile najitahidi kusali sana Mungu aniepushe adhama nafikria mwakani niweze kuoa tu kwa sababu hali hii inatisha.
kawaida sana
tena hao ni wachache
 
Sikuzote akili inafanyia kazi kitu ambacho unawaza muda wote kwahiyo kaavizuri naakiliyako
 
Bora ubaki hivyo hvyo yaan single, aliekudanganya ukioa ndo unakua na uhakika wa k n nan? Huenda utateseka zaid ukioa utalala ume elect kama umekula viagra na k hupew. Sana sana utaishia kua mchepukaj .
 
Kuna namna hujipend
Afyayako sio kipaumbele kwako
Hauna critical thinking kuona nn kinafaa na kipi ni kibaya
Hauna self control ya mwili na emotions
Yani wew ndio mtu usiyejipenda kabisa
Badilika
huwa nawazaga sana watu km hawa,mtu anapiga pumbu watu zaidi ya wawil bila hata kujua afya zao.
magonjwa,nuksi,uchumi,mda..hv vyote havina tafsri kwake
 
Condom na mafuta jamaa hakutumia ni mwendo wa mate tu
1731487039394.jpg
 
Najiuliza kwanini hii hali inanitokea siipendi naichukia yaan mwanzo wa mwaka huu hali ilikua shwari hadi mwezi wa tisa nilikua nimefanya mapenzi na wanawake wanne tu kwa kweli niliona nimevuka hatua kubwa
Hapo sasa kwenye kuichukia hiyo hali ndio unapokosea. Usiichukie, ipende.

Haujawahi kuona kitu unachokichukia au mtu unaemchukia ndio huwa unakutana nae mara kwa mara? Kwanini? Yupo akilini mwako kila wakati.

Ipende hiyo hali. Katika kuipenda jiwekee utaratibu sasa wa kutimiza mapenzi yako. Mfano unakuwa na mpenzi mmoja kama hayupo utamsubiria. Hii itakuondolea presha ya vita moyoni mwako juu ya jambo usilotaka litokee na kisha linatokea, maana hisia za mwili lazima ziishinde akili. Hiyo ni mbinu mojawapo.
Ila baada ya matatizo ya kiuchumi kunipata nimekuta niko na hali ile ile najitahidi kusali sana Mungu aniepushe adhama nafikria mwakani niweze kuoa tu kwa sababu hali hii inatisha.
Jitahid kuelekeza akili yako kwenye mambo mengine kama sehemu ya faraja kwako. Kwani umeweka ngono kama sehemu ya kukufariji unapokuwa na msongo wa mawazo. Kitu kisipokuwa kichwani na duniani kwako hakipo. Mfano, vile huvuti bangi, hauwezi jua kuna wavuta bangi majirani zako. Lakini akili ukiielekeza kwa bangi tayari utapata jirani mvuta bangi kama akili yako ilivyokutuma.

Jaribu kuitawala akili na Mungu akusaidie
 
Hapo sasa kwenye kuichukia hiyo hali ndio unapokosea. Usiichukie, ipende.

Haujawahi kuona kitu unachokichukia au mtu unaemchukia ndio huwa unakutana nae mara kwa mara? Kwanini? Yupo akilini mwako kila wakati.

Ipende hiyo hali. Katika kuipenda jiwekee utaratibu sasa wa kutimiza mapenzi yako. Mfano unakuwa na mpenzi mmoja kama hayupo utamsubiria. Hii itakuondolea presha ya vita moyoni mwako juu ya jambo usilolipendq lisitokee, na kisha linatokea maana hisia za mwili lazima ziishinde akili. Hiyo ni mbinu mojawapo.

Jitahid kuelekeza akili yako kwenye mambo mengine kama sehemu ya faraja kwako. Kwani umeweka ngono kama sehemu ya kukufariji unapokuwa na msongo wa mawazo. Kitu kisipokuwa kichwani na duniani kwako hakipo. Mfano, vile huvuti bangi, hauwezi jua kuna wavuta bangi majirani zako. Lakini akili ukiielekeza kwa bangi tayari utapata jirani mvuta bangi kama akili yako ilivyokutuma.

Jaribu kuitawala akili na Mungu akusaidie
Kwa kweli wacha nijaribu hili nijifunze kupenda mtu hii itaniondolea hii hali
 
Habarini wakuu mimi kijana wa miaka 27 tu lakini nahisi mpaka sasa nimeshafanya mapenzi na wanawake idadi inakaribia 50

Najiuliza kwanini hii hali inanitokea siipendi naichukia yaan mwanzo wa mwaka huu hali ilikua shwari hadi mwezi wa tisa nilikua nimefanya mapenzi na wanawake wanne tu kwa kweli niliona nimevuka hatua kubwa

Ila baada ya matatizo ya kiuchumi kunipata nimekuta niko na hali ile ile najitahidi kusali sana Mungu aniepushe adhama nafikria mwakani niweze kuoa tu kwa sababu hali hii inatisha.
Kabla ya kurusha lawama kwetu subiri uone kama huyu kocha mpya atakubali tununue mechi ili tushinde na kuwachoma sindano/madawa ya kusisimua misuli ya wachezaji wetu ama atakataa hayo mambo kama Gamondi.
"Sisi kama viongozi wa timu tuna uwezo wa kushinda mechi zote nje ya uwanja bila msada wa kocha au wachezaji"
 
Habarini wakuu mimi kijana wa miaka 27 tu lakini nahisi mpaka sasa nimeshafanya mapenzi na wanawake idadi inakaribia 50

Najiuliza kwanini hii hali inanitokea siipendi naichukia yaan mwanzo wa mwaka huu hali ilikua shwari hadi mwezi wa tisa nilikua nimefanya mapenzi na wanawake wanne tu kwa kweli niliona nimevuka hatua kubwa

Ila baada ya matatizo ya kiuchumi kunipata nimekuta niko na hali ile ile najitahidi kusali sana Mungu aniepushe adhama nafikria mwakani niweze kuoa tu kwa sababu hali hii inatisha.
Huo ni umaskin unakusumbua tafta ela hakuna tajir mzinz hivyo , ujinga tu umekujaa kichwani an idle mind is a devals workshop
 
Back
Top Bottom