Nimekubali yaishe, kumtongoza tu kaomba laki


We nawe unamdai mwanamke hela???Mwachie tu mkuu
 
Ulizingua mwenyewe, mtu anakutaka alafu unampelekea swaga za kumtongoza, ulitakiwa upige kibingwa
 
Hahah jiandae kupingwa milion ukiomba mbususu
 
Atafute mdada mwenye gharama nafuu, mbona wapo wengi tu. Kama ameamua kutafuna mbususu, hazipatikani bure, lakini wapo wadada hawana mazinga makubwa sana, yanahimilika, naamini hivyo vizinga havitamuumiza sana.
Nimecheka sana mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ inabidi nijiongeze kwingine hizo level za hapo siziwez
 
Kosa ulilofanya ni kumtongoza wakati yeye ndio kakuletea shobo.
Sijawahi kupinga mawazo mkuu sasa kwa hap nilipofika ntawezaje kumla bila kutoa hiyo laki maana huko ni parefu sana na kumuacha nashindwa mkuu maana ni zigo la haja
 
Hapo ngoma droo... single maza wanawezwa na vijana wanaojua kutafuta pesa na wenye pesa tu
Single maza akili zao zote ni pesa so kingine na ukiona kakutangulizia anataka akupime uzito akiona uzito uko juu hapo atakulaghai kwa mapenzi kwanza jipange tu upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…