Kwa ufupi.
Demu tumecheza toka utoto badae tukapotezana.
Nimekutana nae tukiwa watu wazima, akaniambia hajaolewa nikaona sio kesi nile mzigo maana akiwa kidato cha 6 aliwahi ni suck ila hatukulana. Demu yuko mkoa tofauti na mimi na mme wake.
Sasa ikiwa mme wake amemuita aende aliko demu atafanya kila juhudi hadi nitoke niliko nimle ndio afunge safari ya kwenda mkoa kwa mmewe. Sometimes namwambia sina nauli anamuomba jamaa hela natumiwa nikale mzigo kabla haujaenda kwa mmiliki.
Baada ya kumhoji sana nikagundua jamaa walianza akimpa show za kibabe ila kwa sasa jamaa amejinenepea hana tena pumzi, kimoja chenyewe hakichukui round. Tena ili angalau jamaa atumie hata dakika 2 inamlazimu demu kulala kama gogo, akikata kiuno tu jamaa hata dakika hafiki.