Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

Wanaume wenzangu msiombe hii iwakute..
Nimekuwa namwamini wife wangu kipindi chote,tumeona mwaka 2020 na sasa tumejaaliwa watoto wawili tena wazuri sana
Huwa namwacha wife dukani mimi nikitoka kumbe kuna jamaa huwa anamwimbisha plus kumpa umbea kwamba mumeo anatoka na flani na flani wakawa wamebanjuana mara moja
Nilivopata fununu mtaani nikambana wife mwisho wa siku akakiri na kuanza kulia lia na kuomba msamaha,nilimzaba makofi plus mikanda ya kutosha
Nimewaza mengi sana wakuu hakika hili jambo linaumiza sana aisee
Yeye anadai kajutia na hakutarajia kama atafanya jambo hilo na mimi nimetulia namchora tu
Naombeni ushauri wana jf hasa ambao mpo ndoani hapa kama mwanaume natakiwa kufanyaje?
Hamna msamaha kwa mwanamke anaecheat

#justice for Tumbili wa mjini
 
Fukuza fasta huyo kahaba atakuletea ukimwi
 
TULIA
 
Mkuu relax!

View attachment 3276204

...and always remember that the p*ssy is never real yours. It is just your turn - hata kama umeshaitolea mahari. So relax 😂😂😂🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
BAbu alisema,ni yake(p*ssy) si yako.Kwanini uumie wewe na una yako(Bolo Yeung)
Ishi kwa akili,tembeza moto.
 
Fukuza fasta huyo kahaba atakuletea ukimwi
Shida sio ukimwi maana huo unaweza letwa hata na mwamba. Hapa shida ni kujua kwa kutamkiwa na mhusika. Hiki ndio kinamtesa mwamba.

Sema huyo mwanamke wanawake wenzie hawajampa mbinu za kukwepa. Hapo alitakiwa akatae kuhusika na wowote jamaa aendelee kuhisi. Wanaume hata utukute na mwanamke tunamkataa hatumjui. Hakuna kukubali
 
Wanaume wenzangu msiombe hii iwakute..
Nimekuwa namwamini wife wangu kipindi chote,tumeona mwaka 2020 na sasa tumejaaliwa watoto wawili tena wazuri sana
Huwa namwacha wife dukani mimi nikitoka kumbe kuna jamaa huwa anamwimbisha plus kumpa umbea kwamba mumeo anatoka na flani na flani wakawa wamebanjuana mara moja
Nilivopata fununu mtaani nikambana wife mwisho wa siku akakiri na kuanza kulia lia na kuomba msamaha,nilimzaba makofi plus mikanda ya kutosha
Nimewaza mengi sana wakuu hakika hili jambo linaumiza sana aisee
Yeye anadai kajutia na hakutarajia kama atafanya jambo hilo na mimi nimetulia namchora tu
Naombeni ushauri wana jf hasa ambao mpo ndoani hapa kama mwanaume natakiwa kufanyaje?
Mke anauma sana hasa mkiwa na watoto tayari. Na hata ukimsamehe kamwe hamwezi kuwa sawa kama zamani, picha yake ya kuliwa itakuijia kila wakati ukiwa nae ndo maana wanasema mke mpumbavu huvunja ndoa yake mwenyewe.

Ushauri wangu, kadri unavyoomba ushauri kwa watu ndivyo unavyojaza chuki, na usifanye maamuzi ya kukurupuka. Tulia tafakari je ni athari zipi zitatokea kwa watoto endapo utatengana na huyo mwanamke?
Je, hadi yeye kukusaliti kipindi hicho vipi wewe ulikuwa humsaliti?
Je, mwenendo wake upoje kabla na sasa?

Mambo ya ndoa ni ya wawili fanya maamuzi wewe mwenyewe ukiwa na akili timamu, tumia ushauri kama tool tu ya kukuamsha.
NB: upande wangu siwezi kuishi na mke niliyegundua kaliwa na jamaa mwingine labda niwe na malengo nae mengine lakini sio ya mke.
Nitakuwa nikiwaza kwanzia alivyoanza kunyoa kipochi chake, kisha akajipeleka kwa jamaa, kipindi amekolezwa anaanza kumsifia jamaa na kumkandia mume wake, hapa ni kujitafutia mada kesi 😡.
 
Wanaume wenzangu msiombe hii iwakute..
Nimekuwa namwamini wife wangu kipindi chote,tumeona mwaka 2020 na sasa tumejaaliwa watoto wawili tena wazuri sana
Huwa namwacha wife dukani mimi nikitoka kumbe kuna jamaa huwa anamwimbisha plus kumpa umbea kwamba mumeo anatoka na flani na flani wakawa wamebanjuana mara moja
Nilivopata fununu mtaani nikambana wife mwisho wa siku akakiri na kuanza kulia lia na kuomba msamaha,nilimzaba makofi plus mikanda ya kutosha
Nimewaza mengi sana wakuu hakika hili jambo linaumiza sana aisee
Yeye anadai kajutia na hakutarajia kama atafanya jambo hilo na mimi nimetulia namchora tu
Naombeni ushauri wana jf hasa ambao mpo ndoani hapa kama mwanaume natakiwa kufanyaje?
Dawa ya hii issue ni kumuacha tu maana hutakaa usahau hiyo issue maisha yko yote
 
Wanaume wenzangu msiombe hii iwakute..
Nimekuwa namwamini wife wangu kipindi chote,tumeona mwaka 2020 na sasa tumejaaliwa watoto wawili tena wazuri sana
Huwa namwacha wife dukani mimi nikitoka kumbe kuna jamaa huwa anamwimbisha plus kumpa umbea kwamba mumeo anatoka na flani na flani wakawa wamebanjuana mara moja
Nilivopata fununu mtaani nikambana wife mwisho wa siku akakiri na kuanza kulia lia na kuomba msamaha,nilimzaba makofi plus mikanda ya kutosha
Nimewaza mengi sana wakuu hakika hili jambo linaumiza sana aisee
Yeye anadai kajutia na hakutarajia kama atafanya jambo hilo na mimi nimetulia namchora tu
Naombeni ushauri wana jf hasa ambao mpo ndoani hapa kama mwanaume natakiwa kufanyaje?
Yaliyo pita si ndwele tugange yajayo..
 
Shida sio ukimwi maana huo unaweza letwa hata na mwamba. Hapa shida ni kujua kwa kutamkiwa na mhusika. Hiki ndio kinamtesa mwamba.

Sema huyo mwanamke wanawake wenzie hawajampa mbinu za kukwepa. Hapo alitakiwa akatae kuhusika na wowote jamaa aendelee kuhisi. Wanaume hata utukute na mwanamke tunamkataa hatumjui. Hakuna kukubali
Ila mwamba naye ana roho ngumu sana toka mwaka jana mke kakutamkia kabisa amempa mjuba mwingine ameichapa na bado hadi leo yuko naye, huyu mwamba ujasiri wake anaweza hata kukumbatia kifuani jiko la mkaa lililokolea.
 
Jamaa ndio amejua mwaka huu ila alikuwa anahisi. Mwanamke kakubali ukweli ila walifanya mwaka jana huko.
 
Kuna mmoja ni mgawa ushauri kwenye group la kazini kuwa kusamehe mwanamke mzinzi ni kukumbatia bomu. Lakini mke wake anampiga matukio sio ya nchi hii, mpaka k anampa akipenda yeye sio mme kuomba. Cha ajabu jamaa hajawahi hata kumfukuza, huwa anamfumania analia na kutangaza msamaha.
Maskini jamaa kalogwa huyo
 
Back
Top Bottom