Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

Mkuu ataharibu kila kitu. Wakati analala ICU na yeye atakua kizimbani. Kama ana moyo wa kusamehe asamehe, kama hawezi aachane nae, naisha hayaishii kwenye kusalitiwa mkuu
 
Wanaume wenzangu msiombe hii iwakute..
Nimekuwa namwamini wife wangu kipindi chote,tumeona mwaka 2020 na sasa tumejaaliwa watoto wawili tena wazuri sana
Huwa namwacha wife dukani mimi nikitoka kumbe kuna jamaa huwa anamwimbisha plus kumpa umbea kwamba mumeo anatoka na flani na flani wakawa wamebanjuana mara moja
Nilivopata fununu mtaani nikambana wife mwisho wa siku akakiri na kuanza kulia lia na kuomba msamaha,nilimzaba makofi plus mikanda ya kutosha
Nimewaza mengi sana wakuu hakika hili jambo linaumiza sana aisee
Yeye anadai kajutia na hakutarajia kama atafanya jambo hilo na mimi nimetulia namchora tu
Naombeni ushauri wana jf hasa ambao mpo ndoani hapa kama mwanaume natakiwa kufanyaje?
Drink Sicario poison my friend 😀 .......mwamuzi ni wewe hili swala halihitaji ushauri na mambo ni mawili tu either umsamehe au umuache.
 
Kuna siku mwanamke atashindwa kuvumilia mateso kitampanda kichaa atamuua mwamba. Hii mbinu ni hatari sana. Kama yuko good financially asepe home amuache nyumba na duka aishi na watoto. Hii ndoa hata wakisameheana itakuwa ya moto sana. Wanaume hatupendi kugongewa
Asa wew utakaaje kizembe na wakat upo vitani ?!hio ndio inafaa sasa ukimuacha mna watoto na ukimuacha ataliwa na mwamba had jamaa achike ndio atakuja kulia wew ishi nae hivo uone atakonda kumbe wew huna time nae
 
Na ghalama zote juu yake
Mmoja alikuwa anaachiwa laki mbili kila wiki, kwahyo mimi jioni naenda kwake nakula, napiga hivi

Mwingine yeye, nalala kwake hadi asubuhi jamaa alikua dereva transit, kwo kurudi hadi 3weeks kutoka Zambia, oya sio poa mku
 
Usije kurudia tena huo ujinga, ukikutana na mjanja atakuvuruga sana, ulitakiwa umwache tuu na sio kujiingiza kwenye jinai.
Wewe ndio umemshauri vyema. Wanawake wanalindwa kuliko chochote. Mkizinguana mambo ni mawili tu, samehe, au achaneni at any cost
 
Asa wew utakaaje kizembe na wakat upo vitani ?!hio ndio inafaa sasa ukimuacha mna watoto na ukimuacha ataliwa na mwamba had jamaa achike ndio atakuja kulia wew ishi nae hivo uone atakonda kumbe wew huna time nae
Hii vita huwa haiishi vizuri lazima iondoke na uhai wa mtu.
 
Wanaume wenzangu msiombe hii iwakute..
Nimekuwa namwamini wife wangu kipindi chote,tumeona mwaka 2020 na sasa tumejaaliwa watoto wawili tena wazuri sana
Huwa namwacha wife dukani mimi nikitoka kumbe kuna jamaa huwa anamwimbisha plus kumpa umbea kwamba mumeo anatoka na flani na flani wakawa wamebanjuana mara moja
Nilivopata fununu mtaani nikambana wife mwisho wa siku akakiri na kuanza kulia lia na kuomba msamaha,nilimzaba makofi plus mikanda ya kutosha
Nimewaza mengi sana wakuu hakika hili jambo linaumiza sana aisee
Yeye anadai kajutia na hakutarajia kama atafanya jambo hilo na mimi nimetulia namchora tu
Naombeni ushauri wana jf hasa ambao mpo ndoani hapa kama mwanaume natakiwa kufanyaje?
Kumbanjua sio sawa japo naelewa kuwa ni ngumu kumuacha,muhimu ni kumsamehe na ni vizuri kujua ni sababu ipi iliyomfanya anyanduliwe nje ya ndoa
 
Back
Top Bottom