Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

Comment izi mtoa mada atakuja mda kuleta thread nimemsameh kapata second chance mapensi eh 🚮🚮😹
Watu wawili wanaolala uchi pamoja na ambao wamethibitishwa na kanisa/msikiti na wazazi kulombana mpaka kupata watoto sio watu wa kuwaamini kabisa, Unaweza kukuta sasa hv anapapaswa mambupu huku anasoma Comment za watu wanaomshauri waachane 😂
 
Sababu 12 kwa nini usimsamehe mwanamke msaliti


1. Alitongozwa, akakubali, wakapanga siku, wakakutana, akamvulia chupi chuma kikapenya. Malaya wako akakudanganya siku hiyo labda kuna mahali alienda kumbe alienda kumvulia chupi mshikaji.

2. Alichat naye meseji za mahaba, akamlegezea sauti, akamrembulia jicho la mahaba, huenda alimtumia picha zake na katika visa vingine huenda alimtumia hata picha zake za uchi.

3. Kwenye stori zao za hapa na pale malaya akawa anazungumza mabaya kukuhusu kwa jamaa.

4. Wakiwa wanasex mboo ilipochomoka manzi wako akairudishia aendelee kupigwa miti.

5. Kinywa kilekile unachokila denda kimetumika kunyonya dushe la jamaa aliyekusaliti naye.

6. Kama wewe ni mnyonya K, kumbuka uchi uleule jamaa alimwagia shahawa utaufyonza.

7. Baada ya round ya kwanza lazima walienda round zingine. Na mastyle mengine ya ajabu ajabu akakunjwa mkeo

8. Alimsifu jamaa kuwa kitandani anaweza kuliko wewe. Anamfikisha kileleni.

9. Baada ya kusex kumbuka wamepanga siku nyingine ya kukutana ili akusaliti tena. Ulivyo mjinga na wewe umemsamehe malaya eti bahati mbaya hatarudia tena.

10. Huenda pesa zako unazojidai unamhudumia alizitumia kuspend na jamaa walipokutana au alifanya nauli, kununua nguo nzuri au kujiremba salon kabla hajakutana naye ili amvutie. Inauma sana hii

11. Once a cheater always a cheater. Msaliti ni msaliti ukimsamehe ujue atakusaliti tena.

12. Utaletewa magonjwa ya zinaa kwa sababu ya wa kumsamehe malaya.

Hii kitu ya usaliti haina cha bahati mbaya wala cha shetani alinipitia mipango ilisukwa
​
Namba tisa ni kweli
 
Kuna mmoja ni mgawa ushauri kwenye group la kazini kuwa kusamehe mwanamke mzinzi ni kukumbatia bomu. Lakini mke wake anampiga matukio sio ya nchi hii, mpaka k anampa akipenda yeye sio mme kuomba. Cha ajabu jamaa hajawahi hata kumfukuza, huwa anamfumania analia na kutangaza msamaha.
Ha haaa.
Yaani acha kabisa na mambo ya mume na mke, ukijifanya kuwashauri unaaibika mchana kweupe. Ni kuwatazama tu na kutingisha kichwa.
 
Hahahah usimwambie chochote wala haikutakiwa kumpiga ungesema tuh duuh asante then chukua watoto kapime DNA then tulia na hakikisha umepata dawa ya kuzuia limbwata uwe waila kila siku then usifanye chochote na usiwah muomba mechi wew tulia na uwe fresh tuh ishi nae kama kaka na dada atakonda utazika ila ukimuacha au kumuadhibu n kumpa nguvuni ngumu ila zoea wala usipige pombe tulia tuh inauma ila tulia ukiweza bas unamzika aste aste hatoboi atakimbia mwenyew kama mechi uwe wajilia nje fresh ukrud ndani n wageukia huko walala
Kuna siku mwanamke atashindwa kuvumilia mateso kitampanda kichaa atamuua mwamba. Hii mbinu ni hatari sana. Kama yuko good financially asepe home amuache nyumba na duka aishi na watoto. Hii ndoa hata wakisameheana itakuwa ya moto sana. Wanaume hatupendi kugongewa
 
Pole sana mkuu, kama wewe hujawahi kufanya hilo, wajulishe wazazi wake na viongozi wenu wa kanisa, kisha muache na usimrudie milele.
 
Kimsingi mkuu inauma sana ila tambua kuna mda uamue kwa busara zaid usamehe au umwache na pia kabla ya kuamua pima faida na hasara ni jins gan watoto wako Wataish je watapata malez sahihi?
 
Back
Top Bottom