PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 12,573
- 9,076
Je tako kubwa analo? Au ni size ya kati au flat screen?Demu mzuri sana kwa sura na tabia japo ana cheat.
Nataka kujua tako lake likoje kwenye ukubwa!?
Je tako kubwa analo? Au ni size ya kati au flat screen?Demu mzuri sana kwa sura na tabia japo ana cheat.
Kwa hiyo unashauri akalale na changudoa wa kushare na watu zaidi ya ishirini...lakini asilale na mke wake aliyeshare na mtu mmoja...Hahahah usimwambie chochote wala haikutakiwa kumpiga ungesema tuh duuh asante then chukua watoto kapime DNA then tulia na hakikisha umepata dawa ya kuzuia limbwata uwe waila kila siku then usifanye chochote na usiwah muomba mechi wew tulia na uwe fresh tuh ishi nae kama kaka na dada atakonda utazika ila ukimuacha au kumuadhibu n kumpa nguvuni ngumu ila zoea wala usipige pombe tulia tuh inauma ila tulia ukiweza bas unamzika aste aste hatoboi atakimbia mwenyew kama mechi uwe wajilia nje fresh ukrud ndani n wageukia huko walala
Sio muumini wa nyash so siwezi sema vipimoJe tako kubwa analo? Au ni size ya kati au flat screen?
Nataka kujua tako lake likoje kwenye ukubwa!?
Hiyo point ya marinda ndio yakuzingatia Kwa maana wake za watu wakitoka nje wanafumuliwa Sana marinda maana jemba zinajua ndani ya ndoa wengi wanatoa mbele Tu.Wake za watu wanapowasaliti waume zao huwa wanatombwa mastaili ya hovyo hovyo huko nje
Yaani mwamba anapiga sexual fantasies zake zote anazimalizia kwa mkeo msaliti
Wewe si unapiga kwa heshima mkeo wenzio wanaichapa haswa ikiwezekna kagua hata marinda kama yapo
DnA nchii hii haipimwi kama maleriaA moment ago
New
Add bookmark
#18
Hahahah usimwambie chochote wala haikutakiwa kumpiga ungesema tuh duuh asante then chukua watoto kapime DNA then tulia na hakikisha umepata dawa ya kuzuia limbwata uwe waila kila siku then usifanye chochote na usiwah muomba mechi wew tulia na uwe fresh tuh ishi nae kama kaka na dada atakonda utazika ila ukimuacha au kumuadhibu n kumpa nguvuni ngumu ila zoea wala usipige pombe tulia tuh inauma ila tulia ukiweza bas unamzika aste aste hatoboi atakimbia mwenyew kama mechi uwe wajilia nje fresh ukrud ndani n wageukia huko wa
lala
Ok ila we unalionaje mkuu au humtombi doggystyle? Acha zako nataka ni muimagine alivyo 😁Sio muumini wa nyash so siwezi sema vipimo
Maskini nani sasa hapoMaskini💔
Hiyo point ya marinda ndio yakuzingatia Kwa maana wake za watu wakitoka nje wanafumuliwa Sana marinda maana jemba zinajua ndani ya ndoa wengi wanatoa mbele Tu.
Sasa akishatiwa ulemavu wa kudumu hilo njemba atalitafuta kila uchwao maana ndio limetoa bikra ya YASH..yaani kiufupi wengi wanaliwa Sana tigo
She looks like uoya.Ok ila we unalionaje mkuu au humtombi doggystyle? Acha zako nataka ni muimagine alivyo 😁
Nashangaaga sana aisee. Yaani unakuta limtu linaumia mpaka kujiua kisa eti limechapiwa. Kha! Hiyo mbususu ni yako? Aliyeichapa kwani kaondoka nayo? Na mbususu is just a self lubricating endless sheath of meat between a girl's legs ndo kweli uumie mpaka kufikia kuua au kujiua?Waambie hao madogo
Daa mkuu Mimi yalishanikuta kama yako nilimwamini sana mwanamke lakini nilichokuja kukiona sikutarajia na Mimi alinifanyia vituko vingi mwisho wa siku akanitamkia Hana hisia na Mimi tena na mapenzi Hana tena NAMI ilibidi nokae pembeni na tayari nilikuwa na mtoto nae mmoja haya mambo yanauma sana nilipata maumivu makali sana lakini hakuna jinsi nikamwachia jamaa akaendelea nae kwa kukushauri huyo bwana hawezi akamuacha atakudanganya lakini nachokwambia utakuja kuleta mrejesho hapaWanaume wenzangu msiombe hii iwakute..
Nimekuwa namwamini wife wangu kipindi chote,tumeona mwaka 2020 na sasa tumejaaliwa watoto wawili tena wazuri sana
Huwa namwacha wife dukani mimi nikitoka kumbe kuna jamaa huwa anamwimbisha plus kumpa umbea kwamba mumeo anatoka na flani na flani wakawa wamebanjuana mara moja
Nilivopata fununu mtaani nikambana wife mwisho wa siku akakiri na kuanza kulia lia na kuomba msamaha,nilimzaba makofi plus mikanda ya kutosha
Nimewaza mengi sana wakuu hakika hili jambo linaumiza sana aisee
Yeye anadai kajutia na hakutarajia kama atafanya jambo hilo na mimi nimetulia namchora tu
Naombeni ushauri wana jf hasa ambao mpo ndoani hapa kama mwanaume natakiwa kufanyaje?
Ulishindwa kuendesha bro pole Sana , wanawake ni dhaifu ko usimlaumu coz hujamfanyia usimamizi wa kutoshaWanaume wenzangu msiombe hii iwakute..
Nimekuwa namwamini wife wangu kipindi chote,tumeona mwaka 2020 na sasa tumejaaliwa watoto wawili tena wazuri sana
Huwa namwacha wife dukani mimi nikitoka kumbe kuna jamaa huwa anamwimbisha plus kumpa umbea kwamba mumeo anatoka na flani na flani wakawa wamebanjuana mara moja
Nilivopata fununu mtaani nikambana wife mwisho wa siku akakiri na kuanza kulia lia na kuomba msamaha,nilimzaba makofi plus mikanda ya kutosha
Nimewaza mengi sana wakuu hakika hili jambo linaumiza sana aisee
Yeye anadai kajutia na hakutarajia kama atafanya jambo hilo na mimi nimetulia namchora tu
Naombeni ushauri wana jf hasa ambao mpo ndoani hapa kama mwanaume natakiwa kufanyaje?
Thibitisha wewe kwanza ni kweli unachepuka? SEMA kweli.Wanaume wenzangu msiombe hii iwakute..
Nimekuwa namwamini wife wangu kipindi chote,tumeona mwaka 2020 na sasa tumejaaliwa watoto wawili tena wazuri sana
Huwa namwacha wife dukani mimi nikitoka kumbe kuna jamaa huwa anamwimbisha plus kumpa umbea kwamba mumeo anatoka na flani na flani wakawa wamebanjuana mara moja
Nilivopata fununu mtaani nikambana wife mwisho wa siku akakiri na kuanza kulia lia na kuomba msamaha,nilimzaba makofi plus mikanda ya kutosha
Nimewaza mengi sana wakuu hakika hili jambo linaumiza sana aisee
Yeye anadai kajutia na hakutarajia kama atafanya jambo hilo na mimi nimetulia namchora tu
Naombeni ushauri wana jf hasa ambao mpo ndoani hapa kama mwanaume natakiwa kufanyaje?
Cha kukushauri ni kwamba mpeleke wife na watoto moja kwa moja kwa huyo jamaa aliyemla mkeo maana hata hao watoto sio wako. Utakuja kunishukuru. Ukiendelea kukaza fuvu yajayo hayatakufurahisha. Over!Wanaume wenzangu msiombe hii iwakute..
Nimekuwa namwamini wife wangu kipindi chote,tumeona mwaka 2020 na sasa tumejaaliwa watoto wawili tena wazuri sana
Huwa namwacha wife dukani mimi nikitoka kumbe kuna jamaa huwa anamwimbisha plus kumpa umbea kwamba mumeo anatoka na flani na flani wakawa wamebanjuana mara moja
Nilivopata fununu mtaani nikambana wife mwisho wa siku akakiri na kuanza kulia lia na kuomba msamaha,nilimzaba makofi plus mikanda ya kutosha
Nimewaza mengi sana wakuu hakika hili jambo linaumiza sana aisee
Yeye anadai kajutia na hakutarajia kama atafanya jambo hilo na mimi nimetulia namchora tu
Naombeni ushauri wana jf hasa ambao mpo ndoani hapa kama mwanaume natakiwa kufanyaje?
Sio siku hizi ni tangu enzi sema kwa sasa umefikia umri wa kufaa kwa matumizi ya watuHasa hasa mama ntilie 😃 sikuhizi mpaka wanakonyeza wanaume hii ni hatari 😆
Comrade fala sana ww😀Alimlia wapi, kwako au Kwa jamaa
Umesahau tuanzie tulipokutania tena☺️Hujawahi kusema bana
Mbna hapo ametumia kipigo cha hekima tu...hajampiga mateke hataYani unajisifu kabisa eti umempiga mikanda ya kutosha. Ingekuwa mimi ndo umenishushia hicho kipigo hamna rangi ungeacha kuona
Hii nayo ni ngumu kumeza. Yaani huyo mwanamke ndio anamuathiri kabisa mwamba anashindwa kunasa signalsHajalogwa, hakuitunza afya yake. Ni mtu mkubwa serikalini na maisha ya kutembea umekaa huna muda wa mazoezi, bia kwa sana ndio maana kanenepa performance imeshuka. Sometimes anamfumania mke wake lakini demu ana m win kwa kumwambia hapati alichokuwa anampa zamani na ndio maana anaenda kutafuta nje, jamaa anaywea na kuomba msamaha yanaisha.