Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

Nashangaaga sana aisee. Yaani unakuta limtu linaumia mpaka kujiua kisa eti limechapiwa. Kha! Hiyo mbususu ni yako? Aliyeichapa kwani kaondoka nayo? Na mbususu is just a self lubricating endless sheath of meat between a girl's legs ndo kweli uumie mpaka kufikia kuua au kujiua?

Kuna pisi moja nilichapiwa nikaibana ikakiri. Ilipoona sijamaindi wala nini mbona ilijiondoa yenyewe? Haya mambo siyo magumu kivile. Mtu unahitaji tu kuwa na high emotional intelligence na uwezo wa kupima mambo kwa kina. Niliiambia subiri miezi minne ipite nikakufanyie comprehensive gynecological check up + STDs zote ndo nami niendelee kuifakamia hiyo mbususu ikaona huu ushakuwa msala. Imeolewa lakini mpaka leo tukikutana huwa tunacheka sana kuhusu kisa kile.

Life is easy wallahi!
Mkuuu natumai alikua Ssbbw 😁😁😁 vile vitu ni vitamu hata akikucheat ni haki yao sio kwa huo utamu aseee
 
Wanaume wenzangu msiombe hii iwakute..
Nimekuwa namwamini wife wangu kipindi chote,tumeona mwaka 2020 na sasa tumejaaliwa watoto wawili tena wazuri sana
Huwa namwacha wife dukani mimi nikitoka kumbe kuna jamaa huwa anamwimbisha plus kumpa umbea kwamba mumeo anatoka na flani na flani wakawa wamebanjuana mara moja
Nilivopata fununu mtaani nikambana wife mwisho wa siku akakiri na kuanza kulia lia na kuomba msamaha,nilimzaba makofi plus mikanda ya kutosha
Nimewaza mengi sana wakuu hakika hili jambo linaumiza sana aisee
Yeye anadai kajutia na hakutarajia kama atafanya jambo hilo na mimi nimetulia namchora tu
Naombeni ushauri wana jf hasa ambao mpo ndoani hapa kama mwanaume natakiwa kufanyaje?

Mimi nadhani maswala ya ndoa ni very complicated sana,kwakuwa hukumukuta bikra huyo mwanamke tambua kabisa umeona mke wa mtu,mwanamke ni kiumbe wa hovyo sana kuwahi kutokea,usijaribu kuwekeza mawazo,akili na Imani Yako Kwa mwanamke ambaye hukumukuta bikra,huu ni upumbavu wa Karne.

Can you imagine mama yangu mzazi ambaye katuzaa watoto 6 ,anakuja kukiri kuwa kaka yangu ambaye ni wanne kuzaliwa si mtoto wa baba yetu,Ati alizini na rafiki yake baba miaka Ile,now kaka Yuko 48yrs , Sasa mnafanyaje na hili janga!!?

Simuamini mke wangu hata robo maana sikumkuta bikra,akiliwa huko Wala sio shida,shida siku nikijua maana ndo itakuwa mwisho wa kuwa pamoja.


Ukitaka mapenzi ya kweli oa bikra,huyu hajui mapenzi ni nini,Sasa wewe unaoa jike lililolala na wanaume kumi ,kati ya hao Kuna mmoja alilifurahisha zaidi japo hakulioa,siku wakikutana lazima kitu kipigwe,Nina uzoefu na hawa wake za watu
Huo ndio ukweli wa dunia yetu ,very sad and painful ila ndio uhalisia wa maisha
 
Si ushamuadhibu kwa kumpiga na mikanda.
Acha maisha yaendelee..!!

Sema inauma ukianza kufikiria ilivyokua inachomoka yeye kiherehere anaiwahi kuirudisha, tena unaweza kukuta kwanza anaiweka mdomoni kuiongezea msisimko 😹😹🤣🤣

Usije kuua mke tukakukosa jamvini mkuu, si tuna comment kusogeza masaa hapa. 🤣
 
Yaan aliliwa mwaka 2024 miezi ya mwanzoni 😅

Shida ya haya mambo, Kila utakapoingia mapajani mwake ,unakumbuka alivyokua analiwa .

Utaanza Hadi kujiuliza jamaa alimpiga bao ngapi?? Demu alikua analia migononya aina gan? Jamaa ana machine kubwa kukuzidi?? Jamaa alikua anatumia muda gan Kila bao??.


Jambo Moja la uhakika kabisa nlonalo, WANAWAKE HUWA HAWASEMI UKWELI LINAPOKUJA SUALA LA WAO KULIWA MARA NGAPI , KALIWA NA WANGAPI, KATOA MIMBA NGAPI .


Huyo wako aliliwa vya kutosha tuu , ukikomaa naye atakuambia ukweli wote.
Nadhani umesahau jambo moja kubwa sana! Wanaume wengi wanaochukuwa wake za watu kwa style ya huyo alivyochukuliwa wakikutana na mwanamke mjinga, huwa wanageuza pande zote. Trust me. Wewe unawa unajikuncha na sehemu za kawaida kumbe mwenzako anakuchora tu kwani alishazoea huko kwingine
 
Si ushamuadhibu kwa kumpiga na mikanda.
Acha maisha yaendelee..!!

Sema inauma ukianza kufikiria ilivyokua inachomoka yeye kiherehere anaiwahi kuirudisha, tena unaweza kukuta kwanza anaiweka mdomoni kuiongezea msisimko 😹😹🤣🤣

Usije kuua mke tukakukosa jamvini mkuu, si tuna comment kusogeza masaa hapa. 🤣
Aisee. Wewe ni mchonganishi wa kutupwa. Mpaka nimecheka sana. Du... mkuu umefunika.
 
Yaan aliliwa mwaka 2024 miezi ya mwanzoni 😅

Shida ya haya mambo, Kila utakapoingia mapajani mwake ,unakumbuka alivyokua analiwa .

Utaanza Hadi kujiuliza jamaa alimpiga bao ngapi?? Demu alikua analia migononya aina gan? Jamaa ana machine kubwa kukuzidi?? Jamaa alikua anatumia muda gan Kila bao??.


Jambo Moja la uhakika kabisa nlonalo, WANAWAKE HUWA HAWASEMI UKWELI LINAPOKUJA SUALA LA WAO KULIWA MARA NGAPI , KALIWA NA WANGAPI, KATOA MIMBA NGAPI .


Huyo wako aliliwa vya kutosha tuu , ukikomaa naye atakuambia ukweli wote.
Yani mshkaji anatakiwa ajue mke wake kavurugwa sio kidogo, na washkaji wanakamia wake za watu kuliko madem zao. Alafu mke wake alipenda shoo na anatamani arudie tena. Ila kitakachomfanya atulie ni kama mshkaji kashamchoka na hana mpango naye au anapenda watoto wake anaogopa kukupoteza. Mwana akishajua huu ukweli alafu akaamua kumsamehe hapo fresh...ila sio usijidanganye jamaa aliingiza kichwa tu😂😂😂
 
Aisee kugongewa mke inauma sana.

Imagine jamaa anamvua chupi, anaipiga mbunye dole la kati, anaipapasa papasa. Anaushika mdudu anaufikicha kwenye mashavu. Mbunye inaloa vizuri kisha anaingiza inaenea. Jamaa anapiga tako chap chap huku wife analegeza mimacho

Kila ukikumbuka hayo unaanza kulia kiume
Hatari sana
 
Mimi nadhani maswala ya ndoa ni very complicated sana,kwakuwa hukumukuta bikra huyo mwanamke tambua kabisa umeona mke wa mtu,mwanamke ni kiumbe wa hovyo sana kuwahi kutokea,usijaribu kuwekeza mawazo,akili na Imani Yako Kwa mwanamke ambaye hukumukuta bikra,huu ni upumbavu wa Karne.

Can you imagine mama yangu mzazi ambaye katuzaa watoto 6 ,anakuja kukiri kuwa kaka yangu ambaye ni wanne kuzaliwa si mtoto wa baba yetu,Ati alizini na rafiki yake baba miaka Ile,now kaka Yuko 48yrs , Sasa mnafanyaje na hili janga!!?

Simuamini mke wangu hata robo maana sikumkuta bikra,akiliwa huko Wala sio shida,shida siku nikijua maana ndo itakuwa mwisho wa kuwa pamoja.


Ukitaka mapenzi ya kweli oa bikra,huyu hajui mapenzi ni nini,Sasa wewe unaoa jike lililolala na wanaume kumi ,kati ya hao Kuna mmoja alilifurahisha zaidi japo hakulioa,siku wakikutana lazima kitu kipigwe,Nina uzoefu na hawa wake za watu
Hilo la kuja kusema wakati ameshafikisha miaka 48 ni janga kubwa sana. Mbaona anataka kuleta balaa? Kwanini hakuendelea kuficha tu?
Back to the thread: Ni hivi.... wanaume tunapooa huwa tunajua alishawahi kuwa na mtu ila ameamua sasa wewe utakuwa wake rasmi. Shida ni pale unapojua kuwa leo kapitiwa tena na mbaya zaidi unakuta mhusika unamjua. Usipojua haina shaka, lakini ukijua hilo doa haliondoki.
 
sharia ya uislam uliposema mzinifu mwenye ndoa apigwe mawe mpaka afe na mzinifu asiye na ndoa apigwe mijeledi 100 kulikuwa na mafuhum kubwa sana ndani yake.

ina maana mpaka anampa jamaa utelezi alikuwa na sababu yake maana kama mume anaye hiyo sababu itaondoka kwa kifo tu na vinginevyo na kama si hivyo basi mpe kadi nyekundu vinginevyo utamu wa jamaa ukimkolea sana wanaweza hata kupanga njama ya kukuondoa wewe ili waendelee kufaidi utamu walioanza kupeana.

akili kumkichwa kijana.
 
Ndio maana nimesema hapo kwako hakuna mke,bali hapo kuna maazimio yale Beigin. Aina hiyo ndio iliyosababisha ndoa nyingi kuvurugika. Ksbb kwanza mnaongea sana. Pili mnajua sana. Tatu mko juu kuliko mumeo. Ni pressure kuwa na mtu kama wewe. Aina yenu ni ya eat and kona kali
Unakosea sana kusema hivyo,mimi sio muongeaji hata kidogo ni mpole balaa na hakuna mtu yeyote mwenye haki ya kunishushia kipigo hiyo ni jinai na siwezi kukaa kimya "Kupiga mtu ni kosa la jinai chini ya kifungu cha 241, na adhabu yake inaweza kuwa kifungo cha hadi miaka 5 au faini, au vyote viwili, kulingana na uzito wa madhara yaliyosababishwa"
 
Kama alikusaliti mwaka jana, umegundua leo au hata kama kakusaliti zaidi ya mara moja, ushauri wangu baki nae ukilinda maslahi ya watoto. Lengo la ndoa ni family, hivyo linda tu hivyo viumbe vikue mikono salama. Mambo ya mbususu mkuu, ma mbususu yapo tu, but the primary focus ni family
 
Wewe ndio umemshauri vyema. Wanawake wanalindwa kuliko chochote. Mkizinguana mambo ni mawili tu, samehe, au achaneni at any cost
Kabisa yani upige mtu mzima na mikanda kisa nini kwani alishikiwa fimbo kukusaliti, piga chini endelea na maisha kwa amani
 
Mimi nikiwa na ushahidi usio na shaka kwamba mke wangu ameliwa, hiyo ni talaka with immediate effect.! Girlfriend aliwe hata mara milioni. None of my business. Ila kwa mke no way naweza kukubali kuitwa mume wa mwanamke ambaye najua wazi kuwa ameliwa during subsistence of our marriage.
 
Mbna hapo ametumia kipigo cha hekima tu...hajampiga mateke hata
Mambo siku hizi sio kama zamani mwanaume lazima ufanye maamuzi kwa kutumia akili, kwanini ujichukulie sheria mkononi, kwa hiyo alivyompiga anafikiri ndo hatamsaliti tena?
 
Back
Top Bottom