Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

Naomba ningepata mchumba enzi hizo bado kijana....nilikua napenda kupeleka mikono sana ..kuna demu ambae tulipendana sana enzi nasoma chuo sasa alikua akizngua tu anaogopa hdi kurudi gheto analala kwa best zake
Amewahu nisaliti nilimpa hiyo mikono ya kutosha baadae akanisamehe tukarudiana ila miaka ya baadae nilikuja kuachana nae
Baba angu mwenyewe hajawahi nipiga afu mtu baki aje anipige pige tuu na upole wangu wote hili nilikataa
 
Wanaume wenzangu msiombe hii iwakute..
Nimekuwa namwamini wife wangu kipindi chote,tumeona mwaka 2020 na sasa tumejaaliwa watoto wawili tena wazuri sana
Huwa namwacha wife dukani mimi nikitoka kumbe kuna jamaa huwa anamwimbisha plus kumpa umbea kwamba mumeo anatoka na flani na flani wakawa wamebanjuana mara moja
Nilivopata fununu mtaani nikambana wife mwisho wa siku akakiri na kuanza kulia lia na kuomba msamaha,nilimzaba makofi plus mikanda ya kutosha
Nimewaza mengi sana wakuu hakika hili jambo linaumiza sana aisee
Yeye anadai kajutia na hakutarajia kama atafanya jambo hilo na mimi nimetulia namchora tu
Naombeni ushauri wana jf hasa ambao mpo ndoani hapa kama mwanaume natakiwa kufanyaje?
Sicario poison ww hujawahi msaliti mkeo?
 
Baba angu mwenyewe hajawahi nipiga afu mtu baki aje anipige pige tuu na upole wangu wote hili nilikataa
Mimi ni mwanaume lakini hakuna jambo nalochukia kama kupiga/kupigwa kwa sababu yoyote. Nlibahatika kukulia familia ambayo hatukuwa tunapigwa, pengine ndiyo sababu. Kwenye ndoa mambo ya kupigana ndiyo husababisha majanga mengine.
 
Natamani ujaribu afu uone mziki wangu , labda univizie nisi jue ni wewe.
kama humu 👇🏽
“KNOW WHO YOU'RE DEALING WITHDO NOT OFFEND THE WRONG PERSON
There are many different kinds of people in the world, and you can never assume that
everyone will react to your strategies in the same way. Deceive or outmaneuver some people
and they will spend the rest of their lives seeking revenge. They are wolves in lambs'
clothing. Choose your victims and opponents carefully, then
never offend or deceive the wrong person.”
Pathetically mental retarded cheap thing, huo ugoro uliouanika hapo ndiyo kwamba ukila kichapo cha maana utafanya nini? You ain't shit, unatandikwa na unafungashiwa virago. No real man can tolerate the 🐱pussy he loves,adores and cares ipakuliwe na fala yoyote regardless the circumstances.
 
Aisee kugongewa mke inauma sana.

Imagine jamaa anamvua chupi, anaipiga mbunye dole la kati, anaipapasa papasa. Anaushika mdudu anaufikicha kwenye mashavu. Mbunye inaloa vizuri kisha anaingiza inaenea. Jamaa anapiga tako chap chap huku wife analegeza mimacho

Kila ukikumbuka hayo unaanza kulia kiume
Una roho mbaya sana aisee. Kwanini umpe scenario yote mwenzio🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mimi ni mwanaume lakini hakuna jambo nalochukia kama kupiga/kupigwa kwa sababu yoyote. Nlibahatika kukulia familia ambayo hatukuwa tunapigwa, pengine ndiyo sababu. Kwenye ndoa mambo ya kupigana ndiyo husababisha majanga mengine.
Yes, kupiga sio solution , mimi hata shule nimesoma headmaster alikuwa haruhusu kabisa kupiga wanafunzi , mwalimu akija kama anapenda sana kupiga basi lazima atamtoa tuu. ikitokea headmaster kasafiri basi walimu wanachapa balaaa akirudi tunawasemelea 😂, headmaster alikuwa akiona umefanya kosa lolote unarudishwa nyumbani na ukiwa mtukutu sana mzazi anapewa uhamisho anaambiwa akakutafutie shule nyingine
 
Muulize Fanton Mahal heka heka alizopitia baada ya kumshishia kipigo mkewe na hapo alifuma picha za uchi kwa mkewe lakini maisha yake yalibadilika ndani ya muda mfupi na kuwa ya stress na kumribia asilimia flani
We're bloody two different personalities, once I decide what to do I don't give a damn about the consequences whatsoever. I'm always ready to pay the price.
 
We're bloody two different personalities, once I decided what to do I don't give a damn about the consequences whatsoever. I'm always ready to pay the price.
That’s heavy. Just remember, some prices aren’t paid in cash or blood, they’re paid in ways you never see coming. Being ready is one thing, but being smart about when to strike and when to hold back? That’s what keeps kings on thrones.
 
Ukigundua mkeo kaliwa, maumivu unayopata/pitia ni afadhali ya kufiwa. Kwa sababu majirani, viongozi wa dining, jumuiya wayakuja kukupa pole na rambirambi pia. Lkn hilo usiombe likuyokeee. Kwa ulimwengu wa sasa ndugu zangu yujitahidi kuhakikisha tunawawekea mazingira rafiki ya kufanyia kazi au nyumbani. Mambo yamebadilika sana, mara vivoba, mara jumuiya huko mara vikundi, fursa huwa nyingi za wao kutoka. Finally kwa nia njema tuache kuwafuatilia na kuwachunguza, hasa simu pia. Tukiwakuta yushukuru Mungu. Ila si wote. Wapo ambao ni committed.
Kikubwa pia tujitahidi kuoa wake bora sio bora wake.
 
Lkn pia kwa sasa utandawazi mkubwa mno, wengi tunaoana yukiwa tayati tumetumika sana, wote tuna kapirience, so hayo lazima yatokeeee
 
Pathetically mental retarded cheap thing, huo ugoro uliouanika hapo ndiyo kwamba ukila kichapo cha maana utafanya nini? You ain't shit, unatandikwa na unafungashiwa virago. No real man can tolerate the 🐱pussy he loves,adores and cares ipakuliwe na fala yoyote regardless the circumstances.
A weak man always thinks violence and noise prove strength. Real ones move quiet, handle business, and don’t cry when life humbles them. You’ll learn one way or another.
 
Naombeni ushauri wana jf hasa ambao mpo ndoani hapa kama mwanaume natakiwa kufanyaje?
Kinachokuuma hasa ni nini?
  1. Kupata fununu kuwa mkeo anachepuka?
  2. Mkeo kukiri kuwa alichepuka?
  3. Mkeo kusema alichepuka mara moja?
  4. Mkeo kujutia na kusema harudii?
  5. Au jingine tofauti na hayo?
Ukishajua kinachouumiza ndio utajua cha kufanya.
Lakini vipi upande wako wewe, huchepuki? (Simaanishi mkeo alikuwa analipiza)
Btw, ndoa sio lelemama. Ina changamoto nyingi sana ambazo zinahitaji hofu ya Mungu kuzistahimili
.
 
JamiiForums Founder Maxence Melo pamoja na Moderators wako Refiner, Payge, Active, Paw, YinYang, Moderator, Cookie na JamiiForums huyu Member hajaanza KUNICHOKOZA, KUNITUKANA, KUNISHAMBULIA na KUNIDHALILISHA leo na nasikitika hamumuoni na mnamuacha aendelee hivyo UVUMILIVU JUU YAKE UKINISHINDA NA KUAMUA KUJIBU MAPIGO YANGU MAKALI NA YA KUTUKUKA AMBAYO NAJUA YATAMUUMIZA NA KUMSHIKISHA ADABU TAFADHALI TUSILAUMIANE sawa? Kama mmeshindwa Kumalizana nae niambieni ili nimalize Shughuli mapema na tuheshimiane hapa JamiiForums kwani nina uhakika kuwa haniwezi kwa Vita Kali ya Maneno kama mkituruhusu TUPAMBANE hapa.
Hujaulizwa acha shobo
 
Back
Top Bottom